Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Ukweli wanaumme tunapitia magumu sana, miaka kama 20 nyuma kuna sehemu nilikuwanimejishikiza baada ya kutoka shule sikuwa na ramani sasa pale nilipojishikiza hapakuwa mbali na home naweza lala hapo hata wiki ni mambo yakaenda sawa, sasa yule mke wa boss alikuwa na rafiki yake ,ikawa kila mida ya usiku ananifuata nimsindikize mahali , sasa hizo njia ni za mapolini tunapita alafu mnaenda mkifika ktk ansema turudi huwenda tunaemfuata hayupo, huyu mama alikuwa na mumewe mpole san lkn pia alikuwa na watoto wakubwa kuliko mm hali hii iliendelea kwa miezi mingi sana mwisho wa siku tukajikuta tunaenda kuchukua chumba gest tunalala huko ucku mzimaa,
 
Kitendo cha wewe kuridhika haimainishi kua na mwenzako atakua ameridhika na wewe. Unaweza ukawa umeridhika ila mwenzako akawa na mwenzake mwingine anae mridhisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…