Nimefanya uhuni mwingi sana, ila MKE WA MTU is my limit aisee. The risk is not worth at all. Kuna pisi kibao fresh za 2000s huku kali kinouma, why ni risk maisha yangu na mali ya mtu alietolea mahari kabisa. Yaani jaribuni kujiweka kwenye kiatu cha mwenye mali, yaani akatoe mahari, akae vikao miezi 3 akusanye pesa ya harusi aoe then wewe firauni haujapitia process zozote alafu akutane na sms kuwa umetoka kumf**a mke wake. Ujue hata kama hauna asili ya kuuwa lazima itatokea tu. Mimi unless mwanamke atumie sijui uongo gani ila nikishajua ni mke wa mtu hata kama mumewe yuko sayari ya PLUTO si mgusi. Women are very careless in cheating, wanapenda kubakisha kumbukumbu and once they become emotional ni basi umekwisha.
Nataka kuanzisha kampeni
KATAA MKE WA MTU!!!!!!