Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Wewe unaumia sababu una gharamia mkeo sasa nikuulize kwa nini ukale mke wa mwenzako kwamba yeye haumii au? Huyo mwanamke unavyolala nae unafikiri unatengeneza kitu gan hapo baadae ? Nyie ni waharibifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke ni kwamba yeye ni mtoto mdogo hana maamuzi yake na hisia?

Au nyie kwenye mahusiano hamnaga akili ya maamuzi?
 
Ni risk sana huwa nashangaa hizo guts za kutoka na mke wa mtu unapataje, naona kila ukiwa naye utakua unahisi kama mume wake anakuona hivi, in short hautokua huru unaishi kwa machale. Mke na mume wa mtu ni sumu ibaki hivo.
Huyo mke wa mtu ni mtu mzima au ni mtoto mdogo asiyejielewa?

Mfano wewe hapo ukifunga ndoa nikakutongoza ukakubali nikakutia, kosa langu Ni lipi hapo?
 
Huyo mke wa mtu ni mtu mzima au ni mtoto mdogo asiyejielewa?

Mfano wewe hapo ukifunga ndoa nikakutongoza ukakubali nikakutia, kosa langu Ni lipi hapo?
Na wewe kwa nini utongoze mke wa mtu? Makosa ni ya wote wewe unaetongoza mwanamke ukijua kaolewa na huyo anaekukubalia akijua kaolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mwanamke ni kwamba yeye ni mtoto mdogo hana maamuzi yake na hisia?

Au nyie kwenye mahusiano hamnaga akili ya maamuzi?
Huwa nawaza tu kitu kimoja. Kama ninamshika mke wangu na mwanaume mwingine, sina haja ya kugomnana na mwanaume huyo.

Adui yangu ni mke wangu kwa kuwa ni mtu mzima na anajua anachokifanya na anakifanya kwa sababu anazozijua yeye.

Hakuna haja ya kumwua mwanaume mwenzangu, nitapamabana na mkewangu. Naye sitapigana naye bali achukue hamsini right kutoka nilipomfumania kuelekea ama kwao ama kwa huyo jamaa yake.

Hatagusa nyumbani kwangu tena.
 
Nilihamia katika mji wa watu nikiwa pekeyangu. Familia niliiacha nilikotoka.

Sababu za kuiacha familia huko ni mapambano ya maisha. Tulikuwa na kabiashara, isingewezekana kuhama nako harakaharaka kabla ya kujifunza mazingira mapya.

Kwa kuwa sikuwa ninapika, nilikuwa ninakula kwa mamantilie. Jirani na mamantilie palikuwa na kibanda cha mpesa. Mmiliki ni familia, mhudumu ni mama.

Nilikuwa na mazoea kwenda kupata huduma kutuma na kutoa.

Siku moja nilimkuta yule mama amekaa chini ndani. Nilipofika alijitahidi kuficha lakini niligundua kuwa alikuwa analia. Nilimwuliza kulikoni akajifanya kushangaa.

Mazoea ya kufika pale yaiendelea. Kuna siku nilimwomba namba ili nikitaka huduma niipate hata bila kufika. Alinipa japo kwa kusitasita.

Siku ya siku, nilimpigia. Alipokea, nikagundua sauti haiko sawa. Alikuwa akilia. Baada ya kupata huduma, nilijaribu kumbembeleza anambie ana tatizo gani. Alifunguka baada ya kama kumbembeleza mwezi mzima hivi.

Nilimpa concealing karibu mwezi kwa kuongea naye kwa vipindi tukiongea kwa kama dakika kumi hivi.

Alianza kunielewa na sasa yeye ndiye alikuwa anatuma text akinambia amepata amani na anasonga mbele na maisha yake. Mapenzi yake ameelekeza kwa watoto na mume si tatizo tena kwake.

Mumewe alikuwa anaweza aondoke nyumbani wiki zima anakaa kwa mwanamke mwingine katika mtaa huohuo.

Siku moja nikamwomba anisitiri nina ugwadu. Alinambia hayakuwa makubaliano yetu. Nilikubaliana naye. Nikamsisitiza kwa kumkumbusha mara kwa mara. Baada ya kama miezi 15 hivi aliingia king.

Kosa langu: nilimjali sana. Hakuna alichoomba nikamkatalia. Nilimpa hata asichoomba. Akazama na kuzama. Siri sirini.

Nina miaka mitatu sasa na mke wa mtu.

Ninafikiria kuacha kutokana na watoto wake ni wakubwa sasa, si vema wakagundua mama yao anachepuka. Pia mume wake ni kama ameanza kurejea ngamiani.
 
Huwa nawaza tu kitu kimoja. Kama ninamshika mke wangu na mwanaume mwingine, sina haja ya kugomnana na mwanaume huyo.

Adui yangu ni mke wangu kwa kuwa ni mtu mzima na anajua anachokifanya na anakifanya kwa sababu anazozijua yeye.

Hakuna haja ya kumwua mwanaume mwenzangu, nitapamabana na mkewangu. Naye sitapigana naye bali achukue hamsini right kutoka nilipomfumania kuelekea ama kwao ama kwa huyo jamaa yake.

Hatagusa nyumbani kwangu tena.
Huo ndio uhalisia wa tatizo.

Hakuna mwanamke anayechepuka kwa bahati mbaya. Wao ndio huwa wanaanzisha mahusiano. Haiwezekani mke wako kapanga siku ya kwenda gest, Kasuka vizuri, kavaa nguo nzuri na chupi mpya, kaenda kwa jamaa kavuliwa chupi, kapewa Koni kalamba, kabinuliwa style tofauti tofauti, kapigwa bao la kwanza la pili la tatu la nne,

Alafu mume utoke uko uje kumchukulia hatua aliye mtoa mke wako, kiukweli utakuwa huna akili.

Kama mwanamke wako kagongwa, basi mwenye tatizo siyo mgongaji bali mke wako ndiye mwenye makosa Kwahiyo deal na mke wako.
 
Kiukweli kabisa mke anauma sana ukichapiwa tena iwe vile unamwamini sana halafu akacheza hii rafu utaumia mno!
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la wake za watu kujihusisha na wanaume nje ya ndoa zao imekuwa kawaida kabisa awe mama wa nyumbani au mfanyakazi! Maofisini humu ndio kabisaa unakuta mwanamke kakuganda na ni mke wa mtu inabakia mwanaume wewe ndio uone unatumbukia au unamwacha atafute mwingine.
Wanaume tujihadhari na janga hili
 
Nkikutongoza una options mbili, ukikataa siwezi kukulazimisha nitaachana na na wewe na ntaendelea na mambo mengine.

Ukikubali, wewe mwenyewe utaniambia ni siku gani utakuwa free, utasafiri kuja sehemu nilipo, utavaa nguo nzuri za kuniteka kimahaba, nitakuvua nguo, ntachomeka mpini utaanza kukatika. Haya matendo yote hayafanywi na roboti, bali binadamu kamili mwenye akili yake timamu.

Sasa iweje nilaumiwe mimi eti nakosea kutoka na wewe eti kisa umeolewa? Kama umenikubali mimi ila nikakataa kutoka na wewe lazima utawapa wengine. Anayepaswa kuheshimu ndoa yake ni wewe siyo mimi na kama uheshimu ndoa yako iweje mimi niiheshimu?

Na wewe kwa nini utongoze mke wa mtu? Makosa ni ya wote wewe unaetongoza mwanamke ukijua kaolewa na huyo anaekukubalia akijua kaolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mke wa mtu ni mtu mzima au ni mtoto mdogo asiyejielewa?

Mfano wewe hapo ukifunga ndoa nikakutongoza ukakubali nikakutia, kosa langu Ni lipi hapo?
Kwahiyo wewe unayetongoza wake za watu ni mtoto? Je ukifumwa na mumewe utamwambia hiyo sababu kwamba yeye si mtoto mdogo? Wote hapo mtongozaji na huyo mke wa mtu mna makosa, ili kuwa salama ni wewe mtongozaji kuacha kutongoza wake za watu maana madhara yake utaonekana wewe ndiye umemfuata mkewe anayemhudumia.
 
Nkikutongoza una options mbili, ukikataa siwezi kukulazimisha nitaachana na na wewe na ntaendelea na mambo mengine.

Ukikubali, wewe mwenyewe utaniambia ni siku gani utakuwa free, utasafiri kuja sehemu nilipo, utavaa nguo nzuri za kuniteka kimahaba, nitakuvua nguo, ntachomeka mpini utaanza kukatika. Haya matendo yote hayafanywi na roboti, bali binadamu kamili mwenye akili yake timamu.

Sasa iweje nilaumiwe mimi eti nakosea kutoka na wewe eti kisa umeolewa? Kama umenikubali mimi ila nikakataa kutoka na wewe lazima utawapa wengine. Anayepaswa kuheshimu ndoa yake ni wewe siyo mimi na kama uheshimu ndoa yako iweje mimi niiheshimu?
Aiseee! Kweli kazi ipo. Kama ndio michezo yako basi wewe endelea kula wake za watu kwa raha zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe unayetongoza wake za watu ni mtoto? Je ukifumwa na mumewe utamwambia hiyo sababu kwamba yeye si mtoto mdogo? Wote hapo mtongozaji na huyo mke wa mtu mna makosa, ili kuwa salama ni wewe mtongozaji kuacha kutongoza wake za watu maana madhara yake utaonekana wewe ndiye umemfuata mkewe anayemhudumia.
Kwani kutongoza ni dhambi?

Kwani wewe kila ukitongozwa ni lazima ukubali?

Nikikutongoza nakushikia bastola ili ukubaki?

Hadi nakutongoza lazima kuna mazingira ya kujirahidisha umenitengenezea .

Haiwezekani mke wa mtu uvae nusu uchi utegemee sitakutongoza.

Haiwezekani kwenye mazungumzo uwe mwepesi kuzungumzia ngono alafu utegemee sitakutongoza.

Haiwezekani mke wa mtu ujibebishe alafu utegemee sitakutongoza.

Mwanamke ukitongozwa sana, ujue wewe ndiyo mwenye tatizo. Hao watongozaji unawaita mwenyewe au unawatengenezea mazingira ya kukutongoza.

Mwanamme anaitaji mazingira tuu ili kufanya ngono ila mwanamke anaitaji sababu ya kufanya ngono. Hakuna mwanamke anachepuka bila sababu.
 
Sawa mkuu, endelea kutongoza na kutoka na wake za watu na ukifumaniwa utatoa hizo sababu. Watakuelewa
 
Kuna mmoja nnpo nae huu kijiji najilia tu mumewe yupo Dar huko

Halina mbamba yaan jeupeee kama papai nalipelekea moto mpaka linakuwa jekundu maaanina
Mmewe kuja huku Kwa mwaka mara moja anakaa week 1 au siku 3 then ananichia kitumbua changu niendelee kujibandulia gogo

Mkienda mjin kutafta maisha nenden na wake zenu mnatuweka katika vishawishi huku
Ukianza kuhara ulete mrejesho.
Mmewe anakutengenezea sumu huko Dar utailamba tu
 
Mimi siku nikigundua mke wangu anacheat namuacha wife then jamaa namfungia kazi akibaki hai basi atakuwa kilema maisha yake yote
Mke anauma aisee me kicheche ila nishajiwekea sheria sijawah na sitowah kula mke wa mtu
Kuwa makin mkuu kuna mwenzio alisema kama wewe akajichanganya akaenda kuloga. Tulimpa onyo tu mwezi akafikiri masihara. then action the rest ni history
 
Mimi kiukweli nina kinyaa kikali sana siwezi gonga mke wa mtu naona ni uchafu tu
Siyo mke wa mtu,mimi hata ile kujua tu alishamegwa na flani halafu na mimi niunge tela!
Hiyo ngumu sana na sipendi.
Mimi hata mke wangu nilishamwambia kuwa akihisi kuna kitu hakipati kwangu ila kinapatikana mahala,yeye asinifiche. Aende kwa kuniaga hata usafiri wa kusafirisha mizigo yake nitampatia kuliko ku share mapenzi.

Hapo ni kiroho safi kabisa yaani.
Hili lilinifanya niwe na tabia ya kuwa na mwanamke mmoja tu hata enzi za ujana wangu,akizingua nakata mti,baada ya mwaka mmoja au zaidi ndo naziba nafasi.
 
Back
Top Bottom