Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Morning mkuu tough! Ulivyoacha kupiga ni maamuzi sahihi, ila inaonekana wake za watu pia wanajiachia tu hawaogopi😌
Morning, yan its very risky ila wao huwa hawaogopi, ndio mana fumanizi za mapenz zipo nyingi sana sababu wanawake ukiwakanda vizuri hadi mume wake anamwona hafai anaanza kumkandia na kumdharau saivi nipo makini nao sana,
 
Ni kweli risk kubwa, tunasikia matukio ya kikatili sababu ya wivu wa mapenzi, mtu kakatwa mapanga aah, endelea kuwakanda waliosingle tu😀😀
 
Ni kweli risk kubwa, tunasikia matukio ya kikatili sababu ya wivu wa mapenzi, mtu kakatwa mapanga aah, endelea kuwakanda waliosingle tu😀😀
Hahaha hata masinge saivi nimepunguza ahahaha, hela zinaenda sana kukimbizana na wanawake saivi nimechil tu... Mwili ufanye Rejuvenation hata kwa miezi miwili... Nafanya mazoez sana daily jion
 
Ni vizuri pia mkuu👍
Sio mbaya... Nataka nijaribu kujicontrol nibadili lifestyle kidogo... Hii hapa chini imenifanya nijisikie vibaya sana.. Anapiga simu kinoma mke wa mtu mpaka nimemblock... Sisi watu wenye hi libido ni tatizo mkuu... Inahitaji control ya hali ya juu sana
 
Attachments

  • IMG_20230506_094607.jpg
    IMG_20230506_094607.jpg
    151.6 KB · Views: 72
Moja ya vitu unajiweka kwenye hatari ya kuondolewa maisha yako ni kutembea na Mke WA MTU. Kifo nje nje!

Nimewahi kushuhudia MTU anauawa Kwa kutembea na Mke WA MTU.

Tembea na Mke WA MTU Ila tambua unatembea na kifo

Kuna watu kuua sio issue tembea uone. Yani ukitembea na Mke wake ni either akuue wewe mwanaume. Au awaue nyie wote au nyote watatu mfe.

Ogopa Sana mahusiano Yana hisia Kali mno
Huwa inamaanisha nini kumdhuru anayetembea na mke wa mtu?

Mimi huwa sioni mantiki hata kidogo maana wa kudeal naye ni mke kwani ana akili timamu na kama kaenda kuvua chupi lazima katumia utashi wake.
 
Jamii nayo kesi za fumanizi huwa aliyefumaniwa halindwi msisahau hilo wataalam wa kutembea na wake za watu.

Kuna kasheria fulani kasiko rasmi kuwa mshahara wa fumanizi kwa anayefumaniwa ni likimkuta baya lolote ni kulitazama na kuishia kumuhurumia mhusika.
 
Sio mbaya... Nataka nijaribu kujicontrol nibadili lifestyle kidogo... Hii hapa chini imenifanya nijisikie vibaya sana.. Anapiga simu kinoma mke wa mtu mpaka nimemblock... Sisi watu wenye hi libido ni tatizo mkuu... Inahitaji control ya hali ya juu sana
Mkazie hamna kubadili msimamo, imagine hizo sms akaziona mume wake, unahisi atajisikiaje na anaweza akakuvizia akudunde hivi hivi.
 
Back
Top Bottom