Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Kitendo cha wewe kuridhika haimainishi kua na mwenzako atakua ameridhika na wewe. Unaweza ukawa umeridhika ila mwenzako akawa na mwenzake mwingine anae mridhisha.
Sio lazima iwe hivyo
Kuna watu naongea nao wa kike na wa kiume katika haya masuala na wapo ambao hawajawahi kutoka nje ya ndoa zao
Lakini kama utaweka dhana kuwa kila mwanamke ana wanaume wawili au kila mwanaume anachepuka sio kweli

Dunia hii kuna watu wameridhiana na hawana mda huo niamini mimi

Sisi ni binadamu sio wanyama
 
Ukiona mke wa mtu kaliwa ujue kapenda mwenyewe kutokana na sababu mbalimbali, lakini sababu kuu huwa ni;

1. Mume kaacha kumjali, kumthamini au kumuheshimu kwa kiwango cha kumfanya mwanamke ajute na kulia kila mara...

2. Mume dhoofu ilihali kitandani, ikumbukwe kuwa hata wanawake wana matamanio ya kingono na kiu zao ni zaidi ya tulizonazo wanaume. Tazama namna mnyama wa kike anavyohaha akiwa kwenye joto...

3. Mwanamke kutoachana ex kwa ubaya bali mazingira au namna iliyokuwa nje ya uwezo wake. Hapa sasa ndio wengi hutafunwa haswa wale wanaosafiri kwenda maeneo maEx wanapoishi...

4. Tamaa tu kama pesa, vyeo, n.k
 
Huwezi Kweli kusahau pole Kwa mkasa...

Ila vijana Hawa wa bongoflava wanaweza sema ni CHAI....
🤓🤓😊😊
 
Jinsia ya ME siku hizi imekuwa hovyo sana. Huwezi kukuta KE wakileta nyuzi za upuuzi kama hizi.

No wonder mnavutwa na rainbow coalition.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…