Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Mimi ilikuwa hivi,

Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza [emoji1787][emoji1787] akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu.

Baadaye nilipata mchongo mkoa ikabidi nihame mawasiliano yakaanza kupungua siku hadi siku si unajua tena fimbo ya mbali haiui nyoka [emoji1787][emoji1787].
Niliwahi kudate na mke wa mtu tukiwa mikoa tofauti hadi akalainika.

Tulifahamiana kwenye group la WhatsApp na pia niliwahi kumsaidia kumuuguza mzazi wake alipokuwa amelazwa kwenye mkoa nilipokuwa. Kitendo kile ndio kilinifanya niwe nawasiliana naye mara kwa mara na hatimaye nikazoeana naye.
Alikuwa ananizidi umri kwa miaka 3.

Mazoea yalipokolea hasa katika kujuliana hali na kupiga stori kidogo tukafikia kutumiana picha ili tufahamiane kwa sura. Aliponitumia picha nikakuta ni kali nikavutiwa naye. Mazoea yakaendelea kupamba moto mwishowe tukafikia kuchati mambo sensitive kama sex chat.

Siku moja tukakubaliana nisafiri niende mkoa alipo ili tukapeane haya yote tuliyokuwa tunaambizana through chating, kwa kweli aliniteka kihisia na hilo wazo sikuwa na ujanja wa kulikwepa.

Tukachora ramani ya tukio zima, yeye huko alipo aweka ratiba sawa nyumbani kwake kwa ajili ga tukio na akachagua lodge ambayo ipo mbali kidogo na anapoishi na ilipo pembezoni mwa mji, akaniambia jina lake na namna ya kufika kule.

Kidume nikajiandaa bwana kwenda kubutua kifaa cha mwanaume mwenzagu maana tulipanga kwenda kuspend siku nzima yaani kuanzia asubuhi hadi jioni.

Siku ya safari ilipofika nikapanda gari mchana ili kule nifike mida ya jioni, safari ikaanza tukiwa njiani tukapata ajali, Bus nililopanda lilikwaruzana na Lori ikapelekea Lori kuanguka mtaroni mwa barabara ila Bus halikuanguka badala yake likapasuka vioo upande uliokwaruzana na Lori. Lile tukio lilinishtua sana nikaogopa na kuahirisha safari nikaamua kurudi nilipotoka.

Kule mke wa mtu alikuwa tayari kashajiandaa kwa ugeni ila ghafla nikamjulisha kuhusu hilo tukio na kumtumia picha, nikamwambia siwezi kuja tena, alikubali.

Kuanzia siku ile nikaacha kudate na huyo mwanamke, mwishowe tukapotezana kabisa kwenye mawasiliano hadi sasa.

Isingekuwa ajali ile sijui nini kingeenda kutokea huko mbele maana nilidhamiria kabisa kwenda.

Huyo ndio alikuwa mke wa mtu wa kwanza na mwisho kudate naye.
 
Ungejua mke wa mtu ni salama kuliko demu huru wa mtaani.
Kwa sababu unakuwa unajua nachomeka mimi na mume wake.

Ila hawa wa mtaani unakuta anatoa hadi kwa watu watatu kwa siku, wote mnaloweka sehemu moja.

MKE WA MTU NI SUMU
Kwamba wewe ni special sana uchomeke wewe na mumewe tu? Ukipewa wewe kuna mwingine atapewa na sababu ulizopewa za kupewa naye atapewa hizo hizo na mumewe anachovya kwa wengine pia kama wewe unavyochovya kwa mkewe na wengine na hao wengine wanagawa vile vile, huenda mpenzi wako anagawa kwa jamaa ambaye mkewe anagawa kwa mume wa mwanamke unayetembea nae. Uzinzi ni bonge la network, usijiache ukajiona upo salama.
 
Mimi ilikuwa hivi,

Ilikuwa kama ajali tu. Mimi nilikuwa nasali nae kanisani mume wake engineer kuwepo nyumbani ngumu mtu wa kusafiri safiri kwa hiyo ili mke asiwe mpweke nilikuwa kama namsaidia maana mimi sio mchoyo akija anaendeleza 🤣🤣 akitoka namfanya mke wake asitoke kwa wengine ila Mimi tu.

Baadaye nilipata mchongo mkoa ikabidi nihame mawasiliano yakaanza kupungua siku hadi siku si unajua tena fimbo ya mbali haiui nyoka 🤣🤣.
Huyo engineer ndio mimi, kijana nakusaka, nyambafuuu!
 
Kuna mmoja nnpo nae huu kijiji najilia tu mumewe yupo Dar huko

Halina mbamba yaan jeupeee kama papai nalipelekea moto mpaka linakuwa jekundu maaanina
Mmewe kuja huku Kwa mwaka mara moja anakaa week 1 au siku 3 then ananichia kitumbua changu niendelee kujibandulia gogo

Mkienda mjin kutafta maisha nenden na wake zenu mnatuweka katika vishawishi huku
Arobaini yako haiko mbali kaka
 
Sijawai na sithubutu, mara moja tu kuna jamaa tumepanga nyumba pamoja aisee mwanamke wake alikua mzuri balaa.
Jamaa mlevi tu,
Nimeletewa mbususu mara kibao,
Namlowesha anatimka
ila dah kuchomeka naona hii noma.
Nikamuacha tu mpk wamehama pale.
Yule labda ningemzagamua,ila ningenunua bonge la kesi
 
Ilitokea Shinyanga jamaa kaonywa huyo ni mke wa mtu achana nae...hakutaka kusikia...siku ya siku kafumaniwa...wakamrekodi mkanda wa video enzi hizo...huku akiingiliwa kinyume na maumbile na akiamriwa kukata kiuno....Kisha ile kanda akapelekewa baba yake mzazi....baba kuiona tu...akaanguka chini...na kupoteza maisha......walikuwa ni wa miliki wa mabasi fulani jina......kapuni.
 
Back
Top Bottom