Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Kwa hiyo ukamla jicho tumegundua
 
hahaha, na wewe una support au siyo? subiri siku moja utakapokuwa umekamatwa na mumewe na akaanza kukupiga matako yako hayo vibao vya kimahaba paaaah paaaaah paaaaaah huku akipaka mafuta kwenye washeli
 
Kwa bahat mbaya akat amenifumania tunapambana nilimsukuma ajapiga kisogo kwenye ubao wa kitanda akakata moto alipokuja kuzinduka adi leo hii hana mtandao hakumbuki chochote kile katika maisha yake
Umesababisha hasara na maumivu katika maisha ya mwenzako. Kabla hujafa utalipa mara dufu. Hakuna kitu unachekelea hapo.
 
Umeongea kwa uchungu Sana na binafsi nimekuelewa Sana. Mke anauma Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…