Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Alichukua mkopo bila mume wake kujua akafeli marejesho
Dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichukua mkopo bila mume wake kujua akafeli marejesho
Nikikumbuka Fumanizi Morogoro Ifakara nabaki nacheka sana ilikuwa kama movie kumbe ndio uhalisia. Kilichoniokoa ni kuwa mwenye nyumba na mzee wangu walikuwa marafiki.
Kila nikikumbuka lile tukio kimsingi nilizingua bigtime ni tukio la aibu mwishoni wa mwaka 2022 mtaa mzima ulijaa mlangoni.
Baada ya Fumanizi yule bibie aliachika akarudi kwao tuliendelea kuwasiliana tukisimuliana yaliyotokea siku ya fumanizi jinsi alivyochezea kichapo na mimi nikimsimulia jinsi nilivyoweza kutoroka usiku wa manane kwenye ule mji.
Na ni ving'ang'anizi mnoNi kweli kabisa achana nao kabisa hata kama unampenda na yeye anadai kukupenda achana naye na akuchukie tu
Jirani wanataka wenyewe nikatae ?Bora uogope jirani usije kuuponza 🤣
Usije kunipigia simu nije kukuokoa 🤣🤣🤣Jirani wanataka wenyewe nikatae ?
Utakuja tu jiraniUsije kunipigia simu nije kukuokoa 🤣🤣🤣
Tulikia mradi wa bararaba Njombe-makete. Jamaa akamfumania mfanyakazi mwenzetu na demu wake (alizaa nae uyo demu), mida ya saa mbili tuu aisee jamaa alimkatakata mapanga vibaya mno, mixer izo za kutoboa macho..Dah! Best aliuwawa kikatili kinoma wakatoboa na macho, ushahidi ulikuwa wazi kwamba jamaa mwenye mke ni muhusika lkn kesi iliisha hovyo. Kinachoniuma mkewe alikufa kwa presha sasa watoto wake ndo wanalipa ujinga wake, wote ni malaya kijana wake wanachi wenye hasira walimuwahisha. Mke wa mtu aliepelekea kifo chake ndoa yao ipo fresh. Tuache ujinga vijana hawa wanawake wanatupotezea future .
Astakafulli-llah!!!Kuna mmoja nnpo nae huu kijiji najilia tu mumewe yupo Dar huko
Halina mbamba yaan jeupeee kama papai nalipelekea moto mpaka linakuwa jekundu maaanina
Mmewe kuja huku Kwa mwaka mara moja anakaa week 1 au siku 3 then ananichia kitumbua changu niendelee kujibandulia gogo
Mkienda mjin kutafta maisha nenden na wake zenu mnatuweka katika vishawishi huku
Sana ndio maana wanafanywa vibayaNi laana kutembea Na mke Wa mtu
Napenda story za kulana macho[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu, mbona umezungumza kwa uchungu sana?
Utamu hiliwa kimyakimyaNa ndio maana wapakwa mafuta wengi hawapeleki taarifa mahakamani
Ukiwawazia sana hao unaweza usitoboe maishani mwakoUzi unanoga japo wakatisha tamaa nao wako busy hapa
Nataka na ww nikupe rafiki ktu laini safi mnato[emoji28]Vijana wanaenda mbali Hadi wanafukua tope kabisa kwa mke wa mtu.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app