Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?


Kama mwanamke ni msukuma, ameishi dar sasa yupo Arusha nitakuwa namjua [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tulikia mradi wa bararaba Njombe-makete. Jamaa akamfumania mfanyakazi mwenzetu na demu wake (alizaa nae uyo demu), mida ya saa mbili tuu aisee jamaa alimkatakata mapanga vibaya mno, mixer izo za kutoboa macho..

Kesho tunaenda site tunakuta maiti pembeni ya barabara ikiwa uchi huku haitamaniki.

Kutembea na mke wa mtu ni nusu ya kifo
 
Astakafulli-llah!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…