Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

Na wanaune mnao wekwa profile mnajionaga mnapeeeendwa wenyewe, unawekwa wewe na mtito wenu au wote watatu.
Ndugu hilo ni pumbazo, huyo mkeo analiwa na danganya toto za kwamba hukauki profile kwake
Mkuu hapa mbona kama unamzungumzia nesi...

Usinambie na ww ushapiga pale
 
Mke wangu alinisaliti, nikathibitisha amenisaliti, alipojua nimejua akaongeza ujeuri na majibu ya hovyo hovyo!
Nikaamua kumuacha bila kikao wala kusuluhishwa na yeyote, niliitwa kwenye Vikoi vya kifamilia, nilikataa vikao vyote!

Baadaye alirudi kuniomba radhi na kulia kinafiki nlimwambia, SITAKI KUKUUA, usinifuate fuate tena!
Ameshakuwa single mother na mtoto mwingine kashazalishwaaa! Very stupid!
 
Mkuu

Mkuu wapo watatu ninaowajua mimi, mmoja akufunguliwa uwakala na mme wake huyo dp muda wote katuna jamaa pale! Mwingine mje wake anafanya u secretary private na jamaa nasikia anamchimbaga beat kwamba asitoe picha yake na watoto wao. Huo nacheka wakati wa video call .maana dp inaonekana jama a ndio linalokuoigia ukipokea mke mtu anasema nna hamu upo wapi
 
Boss, Unafanya jambo hatari sana mambo ya video call na mke wa mtu. Ukila mke wa mtu, hakikisha humfanyi mpenzi wako maana inawezekana si wewe tu unayemla.

Unajua haya mambo ya mauaji na ukatili sababu ya wake za watu mhusika huwa anaona hayawezekani mpaka yanapowezekana.
 
duh pole sana , ulizaa nae watoto wangap?
 
Mkuu
Mkuu wapo watatu ninaowajua mimi, mmoja akufunguliwa uwakala na mme wake huyo dp muda wote katuna jamaa pale! Mwingine mje wake anafanya u secretary private na jamaa nasikia anamchimbaga beat kwamba asitoe picha yake na watoto wao. Huo nacheka wakati wa video call .maana dp inaonekana jama a ndio linalokuoigia ukipokea mke mtu anasema nna hamu upo wapi
Kwamba jamaa ndio analazimisha kuwekwa dp, noma sana!

Anadhani hiyo itawapunguza spidi wajuba kulisalandia tunda lake, asijue kwamba hata waandamizi wa CHADEMA hawakauki kuifukuzia pesa ingawa ina picha ya mwenyekiti mstaafu wa CCM 😄
 
Boss, Unafanya jambo hatari sana mambo ya video call na mke wa mtu. Ukila mke wa mtu, hakikisha humfanyi mpenzi wako maana inawezekana si wewe tu unayemla.

Unajua haya mambo ya mauaji na ukatili sababu ya wake za watu mhusika huwa anaona hayawezekani mpaka yanapowezekana.
Mkuu kutokua wewe pekee unaemla kunaongeza vp hatari kwako?
 
Hatari ipo pale ambapo unakuta wewe upo zako hujui kinachoendela, unajilia mara moja moja kumbe hawara yako kila wiki lazima akaliwe nje huku mume, sababu ya simu anajua ni wewe ndo mbaya wake, hawajui hao wengine.
 
Noma sana! Mawasiliano yanatakiwa yawe ana kwa ana sio?
 
Mke wangu alinisaliti, nikathibitisha amenisaliti, alipojua nimejua akaongeza ujeuri na majibu ya hovyo hovyo!
Nikaamua kumuacha bila kikao wala kusuluhishwa na yeyote, niliitwa kwenye Vikoi vya kifamilia, nilikataa vikao vyote!

Baadaye alirudi kuniomba radhi na kulia kinafiki nlimwambia, SITAKI KUKUUA, usinifuate fuate tena!
Ameshakuwa single mother na mtoto mwingine kashazalishwaaa! Very stupid!
Nzuri
 
Mkuu
Mkuu wapo watatu ninaowajua mimi, mmoja akufunguliwa uwakala na mme wake huyo dp muda wote katuna jamaa pale! Mwingine mje wake anafanya u secretary private na jamaa nasikia anamchimbaga beat kwamba asitoe picha yake na watoto wao. Huo nacheka wakati wa video call .maana dp inaonekana jama a ndio linalokuoigia ukipokea mke mtu anasema nna hamu upo wapi
Umemtafuna!
 
Wake za watu ni simple sana kula hasa hawa wenye marejesho ya Vicoba na kausha Damu...

Mimi kuna mmoja kaahidi kunizalia ila kasema tutunze SIRI😅😅😅

Jamani wanawake heshimuni ndoa zenu, hakuna mwanaume rijali anaekwepa mtego wa mbususu
Kuna mkopo unaitwa kichupi mkononi.uswahilini yani utawatafuna mpaka basi
 
Back
Top Bottom