Aina hii ya watu huwa ni anakutumia wakati wa shida zake sambamba na hilo anafanya sana SWOT analysis ya maisha yako yote na kila kitu mfano mazuri yako na mabaya yako, Ficus poningii, au wale climbers, atakuwa na wewe wakati huo kuna vitu havipendi kuhusu wewe na hathubutu kurekebisha, wapo wachawi wasioroga ila si wema kbsa.
Imenitokea hii imenifunza mengi alinifanya rafiki tena sana akiwa hana hadhi ya elimu ya age mates wake na alumni wa chuo wenzake, baada ya kupanda elimu na cheo hadhi sasa anawashokea wale mimi sio wa level yake, na aina hii ya usaliti huwa hawapendi umfikie au umzidi Kwa Chochote kile. Hawa atamtaka mkeo, demu wako na hata dada yako.
Usiombe atoke kwenye kabila la wachoyo na wabahili, plus kupenda mademu akina xxx utaisoma, mazingira ya central government yanatisha