reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dahNikishaona tu neno introvert najua tayari watu wenye magonjwa ya kizungu wameshaanza tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dahNikishaona tu neno introvert najua tayari watu wenye magonjwa ya kizungu wameshaanza tayari.
Vijana mkipata mfereji kidgo mnajionaga mpo smart sana.Kaona huna jambo la msingi kaamua kuku-cut off. Unakuta story zako asubuhi hadi jioni ni mampira, pisi, pombe, movies, story za kusadikika na mambo mengine yasiyo na tija hata Mimi nakupunguza hata kama wewe mwanangu. Badala ya kumlaumu jitafakari.
Siamini kama kuna kundi lisilofrel pain at a certain pointsasa ww si introvert unaumia nn [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli.Wengine wasumbufu mkuu hajui ukikwama mkiwq nae!Sasa ukikumbuka hayo inaumiza.
I've to adapt it,,
Umepiga mshono but that's the truthMtoa mada brace yourself!
Kwanza it seems hujui concept ya mtu kua intrivert, maana ungejua ungetambua kua introvert sio ticket ya kujiskia. Inavoonekana wewe ni narcissist na sio introvert..
namkumbuka mmoja wa kikeWakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana...
🤣🤣🤣 ntampea na panadolUmepiga mshono but that's the truth
Sadist!!Maisha ni kupanda na kushuka, pambana ipo siku utapanda naye atashuka
Futa namba yake tafuta hela atakutafuta mwenyeweWakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana.
Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni intro