Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Mkuu nikupe namba ya NGUGI WA THIONG'O?Matokeo ya darasa la saba yametoka,jina langu linaonyesha natakiwa niingie mbeya sec(mbeya day) ....nachelewa kidogo maandaliz ya kwenda shule kama mjuavyo maisha ya singlemom...
Mkuu kuna bwana ni rafiki yangu toka primary akapata Kazi taasisi flani Maisha safi kwa maana ya nyumba na gari ila aliwahi Nipa 15,000 elfu tu kipindi chote cha urafikiKifupi mswahili Ni mbwa.
Msaidie Ila usije ukategemea msaada kutoka kwake. Hata salaam sahau.
Ndugu yako ni mke/mume wako na watoto wako tu. Sahau kitu inaitwa dada au Kaka.
Take it from me and thank me later.
🤣🤣🤣 Hapana,Asante sanaMkuu nikupe namba ya NGUGI WA THIONG'O?
Usikatae mkuu, nimeona umekwiva kitungo.. anaweza kukuvusha🤣🤣🤣 Hapana,Asante sana
Ni kisa Cha kweli mkuuUsikatae mkuu, nimeona umekwiva kitungo.. anaweza kukuvusha
Vijana mkipata mfereji kidgo mnajionaga mpo smart sana.
Hongera mkuuBinafsi sina rafiki wa kumuomba Nina marafiki wa kuniomba niwasaidie..
Misemo ya kupeana moyo tuu hii tumeshaizoeaMaisha ni kupanda na kushuka, pambana ipo siku utapanda naye atashuka
Kweli, sometime huwa haiapply popoteMisemo ya kupeana moyo tuu hii tumeshaizoea