Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

Mkuu maisha ndio yalivyo, people changes when they are exposed to the new environment and when they meet new people. So do not wonder next time when the same thing occur.

THE BEST WAY TO AVOID DISAPPOINTMENT IS NOT TO EXPECT ANYTHING FROM ANYONE.. Take that
 
to yeye bado mnawasiliana, ila ule urafiki mtamu sana aisee kokote ulipo 'G' manina sana aisee.
Mapenz yalitugombanisha Mimi na rafiki yangu Jay....form 4 nilipata boyfriend alinikataza sikusikia....tukamaliza o level alitoka na 2 nikatoka na three 25 mbayambayaaa,naingia chuo Cha ualimu Yeye akapangiwa msalato Dodoma ....chuo nilisoma Cha private mbeya hiyohiyo Jay yupo Dom...mawasiliano yakawa ya shida...Nina simu Yeye haruhusiwi kuwa na simu ....takribani miez 7 ilipita nikiwa home Sina hili Wala lile ...mtu anagonga geti letu la bati(mwaka wa kwanza chuo nilikuwa natokea home na baiskeli kwenda chuo but mwaka wa pili nikakaa hostel)...kufungua ni rafiki yangu Jay,kapungua kweli ila tabasamu lake halikubadilika.

Tupo ndani nikijua yupo likizo Kumbe no,Jay alikuwa amehama shule toka msalato karudi kusoma five mbeya sec (Kuna hostel Ivo aliishi shule)nilifurahi sana,mama alifurahi pia coz sikuwahi kuwa na rafiki wa kupatana kama yule(mi ni mbabe kintindo inatakiwa uwe mvumilivu maana nimebeba utu ndani yake) ...maisha yakaendelea kunitembelea kumtembelea.Akamaliza akapata Three Ivo akaenda chuo Cha st John Dodoma mi nikamaliza nikaenda ndola Zambia Kwa mamkubwa.... Kipindi hicho ndo ajira za ualimu zimekuwa za kusubiri kidogo lakini siyo za kuapply...ukifaulu muda ukifika mnapangiwa pa kwenda(2013)....

Nikarudi Tz maana nilipoenda Zambia mamkubwa ni mfanyabiashara Ivo nikawa nimejifunza kitu kwake so niliporudi kile nimerudi nacho nikaanza biashara huku naendelea kuwasiliana na Jay,akipata likizo au field anakaa home Kwa timehiyo(alikuwa anasomea education too)....Baadae nikapangiwa kituo to iringa Jay ndo yupo kuumalizia mwaka wa pili chuoni....Mapenz haya mapenz haya jamen.....πŸ™„πŸ€”πŸ€¦..

Jay Kwa mara ya kwanza ananiambia amepata mpenz,mpenz aliyepata ndo Nyie msiongeaongea...akapata mwingine hapohapo chuo anaeongea anaeongea sana akavunja bikra Ivo akawa amemzidi kete asiyeongea....Ivo Jay akawa na wapenz wawili akanizidi Mimi chautundu niliyeanza kupigwa mate form fourπŸ₯΅....aiseee.....mapenz ndo chanzo Cha kutenganisha so it's long story....mechoka kuandika
 
Nimesoma yote lakini nimetoka KAPA.. unaweza kunipa "behind the scene" labda yenyewe naweza nikaielewa?
 
Nimesoma yote lakini nimetoka KAPA.. unaweza kunipa "behind the scene" labda yenyewe naweza nikaielewa?
Nimesema alikuwa na wapenz wawili wa kwanza siyo mwongeaji na wa pili muongeaji....kutokana na uongeaji na pesa pia wa pili akamzidi kete wa kwanza Ivo akafanikiwa kumtoa bikra Jay,siku ya siku ikafika wa kwanza kakaza anataka game akapewa na akakuta alichoambiwa anacho Jay hakipo tena....Ivo Mshikaji akakasirika ikawa kama amesusa Fulani....Jay hakupata pressure sana coz wa pili ndo anaemweka mjini.....mwisho wa siku akapata mimba akiwa mwaka wa 3....mimba akaniambia ni ya mpenz wa kwanza(asiye na Hela na siyo mwongeaji) na hata Ivo huyu mwenyehela alipoambiwa Nina mimba akakimbia(japo mimba ni kweli haikuwa yake maana yule aliyekuta bikra imetolewa mbali na kususa mzigo but Kuna time nyege zikimjaa alikuwa anakula mzigo kimtindo afu ndo tuhuma za ujauzito zikamwangukia)...
Mshikaji asiyenazo alikuwa Hana shida akakubali....ila changamoto ikawa namna ya kumtunza Binti na mimba yake(mwanzoni alikuwa hadaiwi matumizi kwa kuwa alikuwa haombwi,Jay si alikuwa anapewa na yule mwingine)....so majukumu yakamwelemea yule kaka,Ivo Jay Kwa kuwa alizoea kutunzwa vyema akatafuta mchepuko mwingine hapohapo chuo,huo mchepuko ukawa unahudumia ila ndo ukawa hautaki Jay awe na mpenz mwingine....
Sasa utamfukuzaje huyo uliyemkuta ...ndo jamaa akaamua kuitumia mbinu ambayo alimficha Jay....Kila wakikutana kusex,jamaa alikuwa anapenda wajirekodi na Jay pasipo kufikiri akawa anakubali....mwisho wa siku yule jamaa akamtumia pictures na video yule Shem(mwenye Ile mimba) .....Shem akamtumia watu wa Karibu na Jay Ili akimkataa Jay kuwe na uthibitisho.....Nadhan hicho ndicho kilichomkimbiza Jay maishani mwangu....Kwa Ile aibu hakutaka kuniona Tena.Japo nilisikia alidisco,akafanya Tena mitihani akafaulu na sasa ni mwalimu songea πŸ˜₯πŸ™
 
Haya Njoo inbox uchukue namba za MCHIRIZI WA FAKI
 
Ila kweli bana ipo siku Mungu atakuwa upande wetu pia
 

Ukishaona dalili ya mtu kuktaa, mkatae kabla ya yeye kukataa
 
Frida.....my best friend.
Sikuwahi kujua kama kuna siku itapita bila kusalimiana na wewe,niliumia nilililia urafiki wetu lakini nilishakubali urafiki ulikufa 😭😭
Ni kweli ulinisaidia lkn sasa!! ni Msaada fake! …. huku nyuma ukini ng'ong'a, tena ukiamini sintofanikiwa popote huko mbele! ulinipa photo copy nikasome! sasa chuo gani Bongo kitakubali kuku-register kwa photo copy???

ok! yakapita hayo!

nilipo pita hapo kwako kurudi nyumbani likizo! ulinicheka kwa watu sana kuwa ,''nimefail! sasa nakimbia kijanja'' (nilijua ametamka hili baadaye sana), kwa kuwa naenda Bara nyumbani kwa wazazi!...niliporudi kupitia kwako kwenda chuo ulishangaa kimyaa!

Bahati nzuri Mungu ni mkubwa nikamaliza chuo kwa pass mark nzuri mno!!……..nikataabika wee! kutafuta kazi sana peke yangu! nikaenda mbali vijijini huko kwa Nauri ya kuomba kwa watu, akiwemo huyo Boss aliye nipeleka huko!!

haya yoote ulikaa kimya, wala kunipa hata hela ya kula chips njiani, nimepigana hukooo! Mungu saidia nikapata maisha sana tu! mpaka nikaajiliwa serikalini nikajenga!

Ulipo niona niko njema ivo, ukatangaza kwa watu ulinisaida, ...…. na sasa najidai, Ok! nisaidie Mkuu, Dada Evelyn Salt, kwanini Mtu km huyu nisimkwepe???...… hili ni li ndg kabisaa nalo lilianzia Maisha kwetu si linaweza kuniua?
 
Hawa ndio washikaji wa Maana sasa
 
Kaona huna jambo la msingi kaamua kuku-cut off. Unakuta story zako asubuhi hadi jioni ni mampira, pisi, pombe, movies, story za kusadikika na mambo mengine yasiyo na tija hata Mimi nakupunguza hata kama wewe mwanangu. Badala ya kumlaumu jitafakari.
Mi napenda sana papa na pesa bora urafiki ufe kuliko unishauri eti niache papa ilivyo tamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…