Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

Ni kawaida kabisa mm kunawqtu tulikuwa ofisi moja baada ya kupunguzwa kazini tulikuwa na group letu tunafarijiana ila baada ya kuwa mmoja baada ya mwinhine anapata nafasi nkaanza kuona hata ukaribu unapungua hata simu hakuna no chat kwa group mtu anakupita kiwizi wizi usimuone jamani .maisha haya
Mkuu maisha ndio yalivyo, people changes when they are exposed to the new environment and when they meet new people. So do not wonder next time when the same thing occur.

THE BEST WAY TO AVOID DISAPPOINTMENT IS NOT TO EXPECT ANYTHING FROM ANYONE.. Take that
 
to yeye bado mnawasiliana, ila ule urafiki mtamu sana aisee kokote ulipo 'G' manina sana aisee.
Mapenz yalitugombanisha Mimi na rafiki yangu Jay....form 4 nilipata boyfriend alinikataza sikusikia....tukamaliza o level alitoka na 2 nikatoka na three 25 mbayambayaaa,naingia chuo Cha ualimu Yeye akapangiwa msalato Dodoma ....chuo nilisoma Cha private mbeya hiyohiyo Jay yupo Dom...mawasiliano yakawa ya shida...Nina simu Yeye haruhusiwi kuwa na simu ....takribani miez 7 ilipita nikiwa home Sina hili Wala lile ...mtu anagonga geti letu la bati(mwaka wa kwanza chuo nilikuwa natokea home na baiskeli kwenda chuo but mwaka wa pili nikakaa hostel)...kufungua ni rafiki yangu Jay,kapungua kweli ila tabasamu lake halikubadilika.

Tupo ndani nikijua yupo likizo Kumbe no,Jay alikuwa amehama shule toka msalato karudi kusoma five mbeya sec (Kuna hostel Ivo aliishi shule)nilifurahi sana,mama alifurahi pia coz sikuwahi kuwa na rafiki wa kupatana kama yule(mi ni mbabe kintindo inatakiwa uwe mvumilivu maana nimebeba utu ndani yake) ...maisha yakaendelea kunitembelea kumtembelea.Akamaliza akapata Three Ivo akaenda chuo Cha st John Dodoma mi nikamaliza nikaenda ndola Zambia Kwa mamkubwa.... Kipindi hicho ndo ajira za ualimu zimekuwa za kusubiri kidogo lakini siyo za kuapply...ukifaulu muda ukifika mnapangiwa pa kwenda(2013)....

Nikarudi Tz maana nilipoenda Zambia mamkubwa ni mfanyabiashara Ivo nikawa nimejifunza kitu kwake so niliporudi kile nimerudi nacho nikaanza biashara huku naendelea kuwasiliana na Jay,akipata likizo au field anakaa home Kwa timehiyo(alikuwa anasomea education too)....Baadae nikapangiwa kituo to iringa Jay ndo yupo kuumalizia mwaka wa pili chuoni....Mapenz haya mapenz haya jamen.....🙄🤔🤦..

Jay Kwa mara ya kwanza ananiambia amepata mpenz,mpenz aliyepata ndo Nyie msiongeaongea...akapata mwingine hapohapo chuo anaeongea anaeongea sana akavunja bikra Ivo akawa amemzidi kete asiyeongea....Ivo Jay akawa na wapenz wawili akanizidi Mimi chautundu niliyeanza kupigwa mate form four🥵....aiseee.....mapenz ndo chanzo Cha kutenganisha so it's long story....mechoka kuandika
 
Mapenz yalitugombanisha Mimi na rafiki yangu Jay....form 4 nilipata boyfriend alinikataza sikusikia....tukamaliza o level alitoka na 2 nikatoka na three 25 mbayambayaaa,naingia chuo Cha ualimu Yeye akapangiwa msalato Dodoma ....chuo nilisoma Cha private mbeya hiyohiyo Jay yupo Dom...mawasiliano yakawa ya shida...Nina simu Yeye haruhusiwi kuwa na simu ....takribani miez 7 ilipita nikiwa home Sina hili Wala lile ...mtu anagonga geti letu la bati(mwaka wa kwanza chuo nilikuwa natokea home na baiskeli kwenda chuo but mwaka wa pili nikakaa hostel)...kufungua ni rafiki yangu Jay,kapungua kweli ila tabasamu lake halikubadilika.
Tupo ndani nikijua yupo likizo Kumbe no,Jay alikuwa amehama shule toka msalato karudi kusoma five mbeya sec (Kuna hostel Ivo aliishi shule)nilifurahi sana,mama alifurahi pia coz sikuwahi kuwa na rafiki wa kupatana kama yule(mi ni mbabe kintindo inatakiwa uwe mvumilivu maana nimebeba utu ndani yake) ...maisha yakaendelea kunitembelea kumtembelea.Akamaliza akapata Three Ivo akaenda chuo Cha st John Dodoma mi nikamaliza nikaenda ndola Zambia Kwa mamkubwa.... Kipindi hicho ndo ajira za ualimu zimekuwa za kusubiri kidogo lakini siyo za kuapply...ukifaulu muda ukifika mnapangiwa pa kwenda(2013)....Nikarudi Tz maana nilipoenda Zambia mamkubwa ni mfanyabiashara Ivo nikawa nimejifunza kitu kwake so niliporudi kile nimerudi nacho nikaanza biashara huku naendelea kuwasiliana na Jay,akipata likizo au field anakaa home Kwa timehiyo(alikuwa anasomea education too)....Baadae nikapangiwa kituo to iringa Jay ndo yupo kuumalizia mwaka wa pili chuoni....Mapenz haya mapenz haya jamen.....🙄🤔🤦..Jay Kwa mara ya kwanza ananiambia amepata mpenz,mpenz aliyepata ndo Nyie msiongeaongea...akapata mwingine hapohapo chuo anaeongea anaeongea sana akavunja bikra Ivo akawa amemzidi kete asiyeongea....Ivo Jay akawa na wapenz wawili akanizidi Mimi chautundu niliyeanza kupigwa mate form four🥵....aiseee.....mapenz ndo chanzo Cha kutenganisha so it's long story....mechoka kuandika
Nimesoma yote lakini nimetoka KAPA.. unaweza kunipa "behind the scene" labda yenyewe naweza nikaielewa?
 
Nimesoma yote lakini nimetoka KAPA.. unaweza kunipa "behind the scene" labda yenyewe naweza nikaielewa?
Nimesema alikuwa na wapenz wawili wa kwanza siyo mwongeaji na wa pili muongeaji....kutokana na uongeaji na pesa pia wa pili akamzidi kete wa kwanza Ivo akafanikiwa kumtoa bikra Jay,siku ya siku ikafika wa kwanza kakaza anataka game akapewa na akakuta alichoambiwa anacho Jay hakipo tena....Ivo Mshikaji akakasirika ikawa kama amesusa Fulani....Jay hakupata pressure sana coz wa pili ndo anaemweka mjini.....mwisho wa siku akapata mimba akiwa mwaka wa 3....mimba akaniambia ni ya mpenz wa kwanza(asiye na Hela na siyo mwongeaji) na hata Ivo huyu mwenyehela alipoambiwa Nina mimba akakimbia(japo mimba ni kweli haikuwa yake maana yule aliyekuta bikra imetolewa mbali na kususa mzigo but Kuna time nyege zikimjaa alikuwa anakula mzigo kimtindo afu ndo tuhuma za ujauzito zikamwangukia)...
Mshikaji asiyenazo alikuwa Hana shida akakubali....ila changamoto ikawa namna ya kumtunza Binti na mimba yake(mwanzoni alikuwa hadaiwi matumizi kwa kuwa alikuwa haombwi,Jay si alikuwa anapewa na yule mwingine)....so majukumu yakamwelemea yule kaka,Ivo Jay Kwa kuwa alizoea kutunzwa vyema akatafuta mchepuko mwingine hapohapo chuo,huo mchepuko ukawa unahudumia ila ndo ukawa hautaki Jay awe na mpenz mwingine....
Sasa utamfukuzaje huyo uliyemkuta ...ndo jamaa akaamua kuitumia mbinu ambayo alimficha Jay....Kila wakikutana kusex,jamaa alikuwa anapenda wajirekodi na Jay pasipo kufikiri akawa anakubali....mwisho wa siku yule jamaa akamtumia pictures na video yule Shem(mwenye Ile mimba) .....Shem akamtumia watu wa Karibu na Jay Ili akimkataa Jay kuwe na uthibitisho.....Nadhan hicho ndicho kilichomkimbiza Jay maishani mwangu....Kwa Ile aibu hakutaka kuniona Tena.Japo nilisikia alidisco,akafanya Tena mitihani akafaulu na sasa ni mwalimu songea 😥🙏
 
Haya Njoo inbox uchukue namba za MCHIRIZI WA FAKI
 
Mkuu maisha ndio yalivyo, people changes when they are exposed to the new environment and when they meet new people. So do not wonder next time when the same thing occur.

THE BEST WAY TO AVOID DISAPPOINTMENT IS NOT TO EXPECT ANYTHING FROM ANYONE.. Take that
Ila kweli bana ipo siku Mungu atakuwa upande wetu pia
 
Wakuu habari za wakati huu! Nina Imani mu wazima wa afya na mnaendelea kupambana na maisha ya Kila siku. Mungu atusaidie sana.

Kama ambavyo title inajieleza, Mimi ni mtu ambae sina marafiki wengi, si kwakuwa ninajiskia sana, hapana ila ni aina ya watu ambao ninaweza kusema ni introvert. Nina marafiki wachache tu ambao nina amani sana kuwa nao.

Sasa kuna mmoja ambae ndio mtu wa karibu zaidi, jambo lake ni langu na langu ni lake, tumesaidizana kwenye nyakati ngumu na hatukuwahi kutengana kote tulikopita kama marafiki. Hatuna maisha mazuri kwakuwa bado ni vijana na tunapambana kutafuta angalau siku moja tuwe kwenye nafasi nzuri pia kimaisha.

Sasa changamoto imekuja kuonekana baada ya huyu mwenzangu kuwa amebahatika kupata chaka sehemu, yaani imekuwa si yeye ninaemfahamu tena. Kwa ukaribu wangu na yeye sidhani hata kama ni kubanana inaweza kuwa kwa mwenendo huu anaouonyesha.

Imekuwa ni mara chache sana siku hizi kuonana tena involuntarily ingawa najua yupo, na baadhi ya watu anakutana nao anapokuwa nje ya majukumu yake ila si mimi tena. Unaweza kumtumia ujumbe usijibiwe kabisa na tangu aanze kazi nakumbuka alinitumia ujumbe siku mbili tu za kwanza tangu alipoanza kazi.

Kiufupi sijapendezwa na mwenendo huo, muda mwingine asiponijibu ujumbe au simu yangu najisikia unyonge sana. Najiona kama nimepoteza nafasi kama rafiki kwake kutokana na aidha anahisi ntamlilia shida au sina msaada tena kwake. Silaumu yeye kupata kazi sababu mwisho wa siku haya ni maisha, tunatakiwa kukua kuelekea hatua nyingine. Mwenzangu katangulia ilhali wakati wangu wa milango kufunguka Bado..

It pains, kwa nyakati tulizifanikiwa kukutana tangu apate kazi anaonyesha kabisa he doesn't care about me and not interested with me anymore,, even jokes we used to make Hana response nazo kabisa. Mnaweza kuwa kwenye maongezi ghafla tu utaiskia anasema nataka niende kwa akina flani, like he's escaping me. Nimeamua kuacha kumtafuta pia sababu nishakuwa inferior kwa jinsi asivyojali tena kuhusu Mimi.

Ndipo nimepata kujifunza kuwa vitu vidogo sana huua urafiki.Si kwamba nahitaji pesa Toka kwake, it's all about value of friendship (THAMANI YA URAFIKI), Sawa naweza kukwama nikahitaji msaada kwake kama kawaida lakini si kudepend moja kwa moja kwenye kile alichonacho. Mara nyingi tu nimemshika mkono kipindi mambo yangu yanakwenda sawa, nimenusuru mahusiano yake zaidi ya mara moja, nimemvusha kifedha kipindi Mwanamke wake kalazimisha kuja ilhali hakuwa na pesa, nilimkabidhi sehemu ninayokaa Ili aenjoy na Mwanamke wake as a best friend of me. Treatment nayoipata sasa ndio inayoninyima furaha, sitegemei kama atajali tena lolote kati yangu naye. Nadhani kakutana na watu wapya, wa category yake ndio maana imekuwa hivi.

Anyway, Mi bado muangaikaji ambae siijui kesho yangu inakucha vipi ila naamini Mungu atanionyesha mlango pia. Tusiwapuuze watu tunaokuwa nao kwenye kipindi kigumu pindi tunapofunguliwa njia za mafanikio. Japo kuna ubize lakini si mbaya tukajuliana Hali tu..

Asanteni wakuu[emoji120], dondosha pia kisa chako

Ukishaona dalili ya mtu kuktaa, mkatae kabla ya yeye kukataa
 
Frida.....my best friend.
Sikuwahi kujua kama kuna siku itapita bila kusalimiana na wewe,niliumia nilililia urafiki wetu lakini nilishakubali urafiki ulikufa 😭😭
Ni kweli ulinisaidia lkn sasa!! ni Msaada fake! …. huku nyuma ukini ng'ong'a, tena ukiamini sintofanikiwa popote huko mbele! ulinipa photo copy nikasome! sasa chuo gani Bongo kitakubali kuku-register kwa photo copy???

ok! yakapita hayo!

nilipo pita hapo kwako kurudi nyumbani likizo! ulinicheka kwa watu sana kuwa ,''nimefail! sasa nakimbia kijanja'' (nilijua ametamka hili baadaye sana), kwa kuwa naenda Bara nyumbani kwa wazazi!...niliporudi kupitia kwako kwenda chuo ulishangaa kimyaa!

Bahati nzuri Mungu ni mkubwa nikamaliza chuo kwa pass mark nzuri mno!!……..nikataabika wee! kutafuta kazi sana peke yangu! nikaenda mbali vijijini huko kwa Nauri ya kuomba kwa watu, akiwemo huyo Boss aliye nipeleka huko!!

haya yoote ulikaa kimya, wala kunipa hata hela ya kula chips njiani, nimepigana hukooo! Mungu saidia nikapata maisha sana tu! mpaka nikaajiliwa serikalini nikajenga!

Ulipo niona niko njema ivo, ukatangaza kwa watu ulinisaida, ...…. na sasa najidai, Ok! nisaidie Mkuu, Dada Evelyn Salt, kwanini Mtu km huyu nisimkwepe???...… hili ni li ndg kabisaa nalo lilianzia Maisha kwetu si linaweza kuniua?
 
Aisee mimi ni vice versa,miaka karibu nane toka nikutane na mshikaji alikua kamaliza chuo maisha yanamchapa mimi wala sikumfanyia wema wowote wa maana sana ila tulitokea kua washkaji sana maisha yangu ni kuunga tu mwana alikuja kula mashavu sehemu ya maana hajawahi kuniletea dharau au kunikataa hata siku moja huwa ananisaidia mnoo kipesa na kimawazo,kuna siku kaja kwenye goli langu kuna dada mmoja huwa ni mteja wangu japo ana dharau wakakutana kumbe jamaa ni boss wa dada na dada alimnyenyekea kinoma ila alishangaa ninavoongea nae kisela tena hadi kumtukana sometimes japo kiutani.
HUWA ROHO INANIUMA SANA NI LINI NITAKUJA KULIPA FADHILA ZA MSHIKAJI TENA YEYE ANAFANYA YOTE HAYO KUKIWA HAKUNA VIASHIRIA VYOVYOTE VYA MIMI KUJA KUMZIDI KIMAISHA.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hawa ndio washikaji wa Maana sasa
 
Kaona huna jambo la msingi kaamua kuku-cut off. Unakuta story zako asubuhi hadi jioni ni mampira, pisi, pombe, movies, story za kusadikika na mambo mengine yasiyo na tija hata Mimi nakupunguza hata kama wewe mwanangu. Badala ya kumlaumu jitafakari.
Mi napenda sana papa na pesa bora urafiki ufe kuliko unishauri eti niache papa ilivyo tamu
 
Back
Top Bottom