Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 244
- 439
Mungu huruhusu tukutane na watu kwa wakati maalum na pia kwa sababu maalum.ulipaswa ujue huyo unayemwita rafiki ulikutana naye ili iweje? Ukute hukupaswa hata kumwita rafiki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima akuogope maana ww ni malaika wa kifoIntrovert hatupo hivyo mkuu, mi binafsi naweza sema sina rafiki ila naenjoy life kama kawaida sa hv natoka job na Laptop yangu nanunua bando kwa ajili ya kucheki movie netflix najifungia Ghetto sina habari na mtu mwenye shida atanitafuta ila mimi kulalamikia mtu hiyo haipo demu wangu mwenyewe ananikubali kinyama yaani ila anajua kabisa akizingua nami nazingua
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]Nikishaona tu neno introvert najua tayari watu wenye magonjwa ya kizungu wameshaanza tayari.
Kisa na mkasa?Frida.....my best friend.
Sikuwahi kujua kama kuna siku itapita bila kusalimiana na wewe,niliumia nilililia urafiki wetu lakini nilishakubali urafiki ulikufa [emoji24][emoji24]
Kwahiyo we ni kibaka " butu" huna makaliMi wanangu wengi wamechomwa moto
Kukulia uswahilini bwana
Mi shule ndiyo iliniokoa
Vp alikuja kuwa girl friend wako?Matokeo ya darasa la saba yametoka,jina langu linaonyesha natakiwa niingie mbeya sec(mbeya day) ....nachelewa kidogo maandaliz ya kwenda shule kama mjuavyo maisha ya singlemom,mama hakuwa vyema kiuchumi ila ndo ilitakiwa nisome....
Sikuchelewa sana nilikata kama mwez Ivo nikaanza class mwez February katikati.....baada ya mambo yote kukamilika mapokez mwalimu anaenda nionesha darasa napokelewa,darasa limefull kiti Cha kukaa hakuna...natoa macho nao wananishangaa....nikasikia sauti ya binti mbele kidogo ya darasa ikiniita "njoo ukae hapa" [emoji15]kiti kimoja nakaaje(kimoyomoyo)....kainuka kaniachia kiti nikae then kaondoka,katoka darasani(Kumbe anaenda tafuta dawati lake)[emoji26][emoji26](sometimes I miss you cute Jay).....kiufupi tulikaa pamoja yeye Karibu yangu mpaka form four(was my real truly best friend).......
Nakumbuka uliacha comb ya science uliyochagua kisa Kuogopa kutengana nami maana I told you nakupenda nimeumia kutengana nawe darasa....ulistop science ukaja art.....ulipenda kupika nilipenda kuchora.....nilikuwa mkali but mshauri kwako,ulikuwa mlokole but mshauri kwangu.....nilikuwa na mwonekano wa maisha duni lakini niliishi home maisha ya kawaida.....ulikuwa na mwonekano mzuri wa kimavaz lakini uso usio na furaha(alikuwa yatima,alipoegeshwa alikuwa ananyanyaswa sana)....
Nilipofahamu uhalisia wako nilikutambulisha Kwa mama Ivo mama nilikuwa nikimwambia ulichopungukiwa alikuwa mwepesi kukusaidia hata Kwa kukuahidi.(nakumbuka Kaz Yako mojawapo ya kulisha kuku Asubuhi na jioni home kwenu ulikuwa huachi kunifichia mayai ukipata nafasi)[emoji26][emoji26] I miss you darling.....daaa ....ni kisa kirefu sana nitaandika nitatachoka then nitafia hapahapa[emoji24][emoji24][emoji1751]
Ndiyo but later tulikosanaVp alikuja kuwa girl friend wako?
Huyu jamaa mbona amenigusa Sana ameshaandika kisa chake please tell meVp alikuja kuwa girl friend wako?
Usiwe mvivu endelea kusoma utakuta nimemalizia vipande viwiliHuyu jamaa mbona amenigusa Sana ameshaandika kisa chake please tell me
Kupata washikaji ukiwa na pesa ni rahisi...Kwa upande wangu wapo ambao walipofanikiwa hawakunitafuta ila kabla walikuwa nilipo wapo, na mm huwa siwakumbuki kiwepesi.
Sijui kwanini, labda kwa sababu walinitegemea zaidi ya mimi kuwategemea hivyo wanavyofanikiwa na kuondoka nakuwa sioni upungufu. Ila kwa % kubwa baada ya muda kupita huwa kunakuwa na mawasiliano yale ya hapa na pale.
😂😂 Bila shaka amerudi akiwa hoiRitha sweetheart sitokusahau ulivyoparamia jiji la Dar na kusahau uràfiki wetu...Hatimaye umerudi Tena Kilimanjaro...
Janeth nae!Kuna msela ambaye alifukuzwa shule ya msingi akiwa darasa la 4, me nikamchukua nikampeleka kwenye shule ambayo nilikuwa nasomea mimi kwakuwa nilikuwa monitor wa darasa na majina nilikuwa naita mimi basi nikamuandikisaha akasoma kama miezi 3 hivi ndo walimu wanakuja shituka heee, huyu mbona kwenye vitabu vyetu hatumfahamu basi kubanwa nikatajwa alimanusura nifukuzwe shule ila tu mkuu wa shule alikuwa ananikuli sana toka ni toke nikachwapwa fimbo za kuzugia nikaendelea na masomo,
Msela tulipo maliza sekondari akapewa piki piki mpya na dingi yake kama mnavyojuwa miaka hiyo boda boda zilikuwa zinalipa akaanza kunionyeshea vidharau na kusema haweziongea na mimi wakati tulikuwa mabest balaa,
Tangu siku hiyo me sina rafiki maalum,
Kisa cha pili,
Jfm, nilipata rafiki mdada furani hivi anaitwa JANETH, nilikuwa namkubali sana tukawa tunawasiliana whatsapp na sms za kawaida, inshort nilifurahiya kampani yake ila alivyo niblock bila sababu iliniuma sana,
Janeth popote ulipo juwa nakukubali mpaka leo, maana ulikuwa na ushauri wa maendeleo.
najuwa utasoma uzi huu pia utaona comment yangu.
Maneno kuntu haya.Hii inatokea sana mzee mana nyingi wakishakua wako sehemu wanabadilisha marafiki wanataka wale wa level moja, ila wakikwama wanakumbuka walipotoka. Kikubwa pambania kesho yako mzee
Na ndio mpango mzima.....mm kuna jamaa/rafiki yangu alikua kakwama sana tena sanaaa nika msupport kabiashara flan ambako yy ali kaplan basi ikawa story nyiingi za malalamiko kua hali "tete"😂😂😂 biashara ngumuu kuumbe nayy anajurusha kinyemela, nika mwachia tu ili ajikim maisha ya endelee lkn ile biashara ikafa.......lkn tegemeo kubwa kubwa nita ibust biashara niikipata ishu ya Sensa nikamwambia hongera sana km ume pata sa'bu alikua na uhakika nayo kuipata, sasahv hata salam hakuna hata what's app hata kureply ukimaliza jambo flan la mtaani tu, wkt ilikua ni km ada kweke nikiwa online tu lzm ukute ujumbe wake wa kunijulia hali au ukifika jioni saa 12 azima apige simu hata kwasimu yyt ili ajue nipo ktk kinywaji au lah atie timu nahii ilikua kdg km kero sometimes namyeyusha kua sijarudi mtaani....... Lkn namimi nilikua nimesha mstukia nikamfanya km daraja tu la company tag ubavuni😊 maisha ya endelee........ Marafiki niwakua nao makini sana wakati huu wengi wanapenda kia chawa na mteremko lkn ujanja niku block vimisaada na kuto watembezea vibia, dawa yao ni K-Vant kubwa tu no Bia alafu wazime WADUNDWE alafu unawakataa mapema mnoo🏃🏃🏃 😂😂😂Yote maisha tu tutakutana kwenye ATM halafu mikausho mikali