Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

Ulishawahi kutengwa na rafiki yako wa karibu baada ya yeye kufanikiwa? Toa kisa chako ilikuwaje

Introvert hatupo hivyo mkuu, mi binafsi naweza sema sina rafiki ila naenjoy life kama kawaida sa hv natoka job na Laptop yangu nanunua bando kwa ajili ya kucheki movie netflix najifungia Ghetto sina habari na mtu mwenye shida atanitafuta ila mimi kulalamikia mtu hiyo haipo demu wangu mwenyewe ananikubali kinyama yaani ila anajua kabisa akizingua nami nazingua
Lazima akuogope maana ww ni malaika wa kifo
 
Mimi yupo mmoja huyo alikuwa ananijaribu siku nampigia anatuma message Eti piga [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kisa kapata kazi nimemchunia mpaka leo kajirudisha hapa mm tayari sio rafiki angu tena saiv yy ndo anapiga simu kila siku
 
Matokeo ya darasa la saba yametoka,jina langu linaonyesha natakiwa niingie mbeya sec(mbeya day) ....nachelewa kidogo maandaliz ya kwenda shule kama mjuavyo maisha ya singlemom,mama hakuwa vyema kiuchumi ila ndo ilitakiwa nisome....

Sikuchelewa sana nilikata kama mwez Ivo nikaanza class mwez February katikati.....baada ya mambo yote kukamilika mapokez mwalimu anaenda nionesha darasa napokelewa,darasa limefull kiti Cha kukaa hakuna...natoa macho nao wananishangaa....nikasikia sauti ya binti mbele kidogo ya darasa ikiniita "njoo ukae hapa" [emoji15]kiti kimoja nakaaje(kimoyomoyo)....kainuka kaniachia kiti nikae then kaondoka,katoka darasani(Kumbe anaenda tafuta dawati lake)[emoji26][emoji26](sometimes I miss you cute Jay).....kiufupi tulikaa pamoja yeye Karibu yangu mpaka form four(was my real truly best friend).......

Nakumbuka uliacha comb ya science uliyochagua kisa Kuogopa kutengana nami maana I told you nakupenda nimeumia kutengana nawe darasa....ulistop science ukaja art.....ulipenda kupika nilipenda kuchora.....nilikuwa mkali but mshauri kwako,ulikuwa mlokole but mshauri kwangu.....nilikuwa na mwonekano wa maisha duni lakini niliishi home maisha ya kawaida.....ulikuwa na mwonekano mzuri wa kimavaz lakini uso usio na furaha(alikuwa yatima,alipoegeshwa alikuwa ananyanyaswa sana)....

Nilipofahamu uhalisia wako nilikutambulisha Kwa mama Ivo mama nilikuwa nikimwambia ulichopungukiwa alikuwa mwepesi kukusaidia hata Kwa kukuahidi.(nakumbuka Kaz Yako mojawapo ya kulisha kuku Asubuhi na jioni home kwenu ulikuwa huachi kunifichia mayai ukipata nafasi)[emoji26][emoji26] I miss you darling.....daaa ....ni kisa kirefu sana nitaandika nitatachoka then nitafia hapahapa[emoji24][emoji24][emoji1751]
Vp alikuja kuwa girl friend wako?
 
Kuna msela ambaye alifukuzwa shule ya msingi akiwa darasa la 4, me nikamchukua nikampeleka kwenye shule ambayo nilikuwa nasomea mimi kwakuwa nilikuwa monitor wa darasa na majina nilikuwa naita mimi basi nikamuandikisaha akasoma kama miezi 3 hivi ndo walimu wanakuja shituka heee, huyu mbona kwenye vitabu vyetu hatumfahamu basi kubanwa nikatajwa alimanusura nifukuzwe shule ila tu mkuu wa shule alikuwa ananikuli sana toka ni toke nikachwapwa fimbo za kuzugia nikaendelea na masomo,

Msela tulipo maliza sekondari akapewa piki piki mpya na dingi yake kama mnavyojuwa miaka hiyo boda boda zilikuwa zinalipa akaanza kunionyeshea vidharau na kusema haweziongea na mimi wakati tulikuwa mabest balaa,
Tangu siku hiyo me sina rafiki maalum,

Kisa cha pili,
Jfm, nilipata rafiki mdada furani hivi anaitwa JANETH, nilikuwa namkubali sana tukawa tunawasiliana whatsapp na sms za kawaida, inshort nilifurahiya kampani yake ila alivyo niblock bila sababu iliniuma sana,
Janeth popote ulipo juwa nakukubali mpaka leo, maana ulikuwa na ushauri wa maendeleo.
najuwa utasoma uzi huu pia utaona comment yangu.
 
Kwa upande wangu wapo ambao walipofanikiwa hawakunitafuta ila kabla walikuwa nilipo wapo, na mm huwa siwakumbuki kiwepesi.

Sijui kwanini, labda kwa sababu walinitegemea zaidi ya mimi kuwategemea hivyo wanavyofanikiwa na kuondoka nakuwa sioni upungufu. Ila kwa % kubwa baada ya muda kupita huwa kunakuwa na mawasiliano yale ya hapa na pale.
Kupata washikaji ukiwa na pesa ni rahisi...
Ukipata na hauna kitu jua umefanikiwa kichizi mi sikufichi...
 
Kuna msela ambaye alifukuzwa shule ya msingi akiwa darasa la 4, me nikamchukua nikampeleka kwenye shule ambayo nilikuwa nasomea mimi kwakuwa nilikuwa monitor wa darasa na majina nilikuwa naita mimi basi nikamuandikisaha akasoma kama miezi 3 hivi ndo walimu wanakuja shituka heee, huyu mbona kwenye vitabu vyetu hatumfahamu basi kubanwa nikatajwa alimanusura nifukuzwe shule ila tu mkuu wa shule alikuwa ananikuli sana toka ni toke nikachwapwa fimbo za kuzugia nikaendelea na masomo,

Msela tulipo maliza sekondari akapewa piki piki mpya na dingi yake kama mnavyojuwa miaka hiyo boda boda zilikuwa zinalipa akaanza kunionyeshea vidharau na kusema haweziongea na mimi wakati tulikuwa mabest balaa,
Tangu siku hiyo me sina rafiki maalum,

Kisa cha pili,
Jfm, nilipata rafiki mdada furani hivi anaitwa JANETH, nilikuwa namkubali sana tukawa tunawasiliana whatsapp na sms za kawaida, inshort nilifurahiya kampani yake ila alivyo niblock bila sababu iliniuma sana,
Janeth popote ulipo juwa nakukubali mpaka leo, maana ulikuwa na ushauri wa maendeleo.
najuwa utasoma uzi huu pia utaona comment yangu.
Janeth nae!

Pole sana, au ulitupia vocal na yeye hakupendezewa?
 
Hii inatokea sana mzee mana nyingi wakishakua wako sehemu wanabadilisha marafiki wanataka wale wa level moja, ila wakikwama wanakumbuka walipotoka. Kikubwa pambania kesho yako mzee
Maneno kuntu haya.

Mimi kuna mmoja baada ya miaka miwili kupita tangu aliponikataa, tulikutana sehemu kibahati mbaya.

Akaanza kujishaua kwasababu ameona mabadiliko upande wangu, na akaomba udhamini kwenye miradi yake nimuongezee nguvu, ingawa hakuniambia moja kwa moja amejifanya kuniomba nimsaidie wadhamini kwasababu biashara zake zimeyumba.

Sikutaka kumkatisha tamaa, nilimuitikia kinafiki, lakini moyoni nikawa najiambia watu wepesi kusahau tena wanasahau haraka sana.

Huyu ni mmoja wapo, ila wapo wengi wa sampuli hii.

Nashukuru nimepata funzo kutoka kwao, kama utaamua kusaidia, saidia lakini usijitoe kivile ukitegemea kwamba fadhila italipwa, sahau
 
Yote maisha tu tutakutana kwenye ATM halafu mikausho mikali
Na ndio mpango mzima.....mm kuna jamaa/rafiki yangu alikua kakwama sana tena sanaaa nika msupport kabiashara flan ambako yy ali kaplan basi ikawa story nyiingi za malalamiko kua hali "tete"😂😂😂 biashara ngumuu kuumbe nayy anajurusha kinyemela, nika mwachia tu ili ajikim maisha ya endelee lkn ile biashara ikafa.......lkn tegemeo kubwa kubwa nita ibust biashara niikipata ishu ya Sensa nikamwambia hongera sana km ume pata sa'bu alikua na uhakika nayo kuipata, sasahv hata salam hakuna hata what's app hata kureply ukimaliza jambo flan la mtaani tu, wkt ilikua ni km ada kweke nikiwa online tu lzm ukute ujumbe wake wa kunijulia hali au ukifika jioni saa 12 azima apige simu hata kwasimu yyt ili ajue nipo ktk kinywaji au lah atie timu nahii ilikua kdg km kero sometimes namyeyusha kua sijarudi mtaani....... Lkn namimi nilikua nimesha mstukia nikamfanya km daraja tu la company tag ubavuni😊 maisha ya endelee........ Marafiki niwakua nao makini sana wakati huu wengi wanapenda kia chawa na mteremko lkn ujanja niku block vimisaada na kuto watembezea vibia, dawa yao ni K-Vant kubwa tu no Bia alafu wazime WADUNDWE alafu unawakataa mapema mnoo🏃🏃🏃 😂😂😂
 
Back
Top Bottom