political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Ule msemo kuwa kiswahili ni kibantu ndio huu ..uyu jamaa ni mbantu kabisa siyo kwa kiswahili iki[emoji28][emoji28][emoji1787]Nina kisa kama chako ila kwangu tuliponaliza Chuo getho(vingunguti) tukaendelea kuishi pamoja magetoni)
Kumbuka sio Chuo kikuu bali ni vyuo vya Kati. Msaada home ukakata,tukatafuta ajira. Mwenzangu akawahi kupata. Akasapoti Kodi katika kipindi chote.
Siku Moja nilikuta amehama amechukua godoro na kitanda nilikuta mabox(sikumbuki kama palikuwa na chandarua) lkn Ngosha mie nililala chini, nakumbuka nilipoingia na dem wangu alisikitika Sana. Kosa ambalo nahisi alihama na hakuwa anapenda hiyo kitu ni Mimi kula tunda mule ndani. Is okay sikutaka kuendelea kula mule tena.
Akahamia nisipopajua lkn baadae nikajua ni (ilala).
Nina marafiki wachache pia na nahisi hata yeye sio rafiki ni Ile kuishi pamoja, as time went on nikapata kazi 'alhamdullillah,' nikatafuta room mbili na choo(lkn huku najua Dem ni MTU wa tamaa japo niliplan tuishi tufunge ndoa Nikaishia pale. Yule Dem Wangu naye akanimwaga silently Kwa sabb nahisi naye aliona Basha mie Sina mbele Wala kazi(sikumwambia nimepata kazi) ilikuwa hivi kila nilivyopita naye sehemu na tukikaribia kufika shell Moja ya mafuta Dem.."ananambia hapa Pana MTU sipendi atuone" mie napita kule yeye huko. Tunakutana mbeleee huko. Nikahoji.....
Mimi.." kwani ni nani..."
Dem..'.....(hasemi anazungazuga)...
Sisi introverts Huwa tunafikiria na kutatua issues ndani Kwa ndani...
Nikajinyamazia kinyaa.... Baadae nikagunfua kumbe pale Kuna jamaa ana 'wazifa'.
Mungu si athuman nikapaa majuu... Basi bana si simu hizo kutoka Kwa wasaliti.
Sent using Jamii Forums mobile app