Ulishawahi kutoka kimapenzi na rafiki wa mpenzi wako?

Ulishawahi kutoka kimapenzi na rafiki wa mpenzi wako?

Wanawake bhana,mm kuna siku nilikuwa naumwa akaja demu wangu na rafiki yake kunijulia khali,sasa wakati wamefika walinikuta nikiwa nimelala,wakaniamsha sasa bahati mbaya ile nanyanyuka kumbe shuka ilikuwa upande mmoja zakhali na pum...bu zikawa nje maana nilikuwa sijavaa kitu,mpenzi wangu akaniambia weka nguo vizuri,kuangalia mambo yote yako hadhalani rafiki yake akainama huku akicheka,wakaondoka baada ya siku tatu rafiki yake kaja mwenyewe kunijulia khali kakuta niko poa nikamuuliza mbona siku ile alikuwa anacheka?akajibu mm nilikuwa naumwa ila mwenzangu haumwi nikamuuliza mwenzangu yupi,akajibu kwa kunishika dhakali,,nikajua hii chakula nikamvutia kitandani nikala akasepa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dah mi nlimpitia rafiki wa mpenz wangu badae akaja kujua aisee ilikuwa mbaya sana kwan waligombana vibaya na urafiki ukaishia hapohapo, aisee huwa najutia sana nilichofanya maana niliwakuta wakiwa marafiki wa muda mrefu mi ndo nkawafarakanisha, sitorudia tena
Wewe me au ke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko Dom sehemu gani kijana tufahamiane
Je ulishawahi kutoka kimapenzi na Rafiki wa mpenzi wako?

Binafsi nilipita na marafiki watatu wa mpenzi wangu kwa mpigo na wote walikuwa wananipenda cha kushangaza licha ya kuja kujuana hawakuwahi kugombana bado wako mabest na mi bado nawala tofauti kwa sasa kila mmoja yupo mkoa wake mmoja yuko dar,mwingine moro na wa mwisho yupo hapa dom kwenye harakati zao za kutafuta maisha .

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Wewe muulize na Yeye ' anavyotambaliziwa ' kunako ' Unyabeni ' kila Uchao kuna Mtu huwa anamuuliza ni kwanini anapenda kufanya hivyo na siyo wengine?

Cc: Baby Doll
Wewe popoma tulia.
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji41][emoji41]
Kama umenitukana na wewe hivyo hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka wewe ndiyo umeni "cc" kwenye post yako na wala sikukutaja popote. Okay kama unataka fight nipo tayari tunaweza kuanza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakuonea huruma unaweza ukakosa ' Usingizi ' bure! Nisalimie Mumeo niliyepishana nae ' Loji ' leo mchana nikiwa natoka ' Kumbandua ' Mtu na Yeye akiwa na Demu wake mkali ( mzuri ) kukuzidi wa Kampuni moja ipo Uwanja wa Ndege akiwa anaenda Kufanya zoezi ambalo nilitoka Kulifanya.
 
Je ulishawahi kutoka kimapenzi na Rafiki wa mpenzi wako?

Binafsi nilipita na marafiki watatu wa mpenzi wangu kwa mpigo na wote walikuwa wananipenda cha kushangaza licha ya kuja kujuana hawakuwahi kugombana bado wako mabest na mi bado nawala tofauti kwa sasa kila mmoja yupo mkoa wake mmoja yuko dar,mwingine moro na wa mwisho yupo hapa dom kwenye harakati zao za kutafuta maisha .

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukkona hivyo tambua wote akili zao zinafanana na siajabu wewe si wakwanza kuchanganya bamia, nyama, maharagwe, samaki nyanya chungu n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuonea huruma unaweza ukakosa ' Usingizi ' bure! Nisalimie Mumeo niliyepishana nae ' Loji ' leo mchana nikiwa natoka ' Kumbandua ' Mtu na Yeye akiwa na Demu wake mkali ( mzuri ) kukuzidi wa Kampuni moja ipo Uwanja wa Ndege akiwa anaenda Kufanya zoezi ambalo nilitoka Kulifanya.
[emoji23][emoji23]haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ulishawahi kutoka kimapenzi na Rafiki wa mpenzi wako?

Binafsi nilipita na marafiki watatu wa mpenzi wangu kwa mpigo na wote walikuwa wananipenda cha kushangaza licha ya kuja kujuana hawakuwahi kugombana bado wako mabest na mi bado nawala tofauti kwa sasa kila mmoja yupo mkoa wake mmoja yuko dar,mwingine moro na wa mwisho yupo hapa dom kwenye harakati zao za kutafuta maisha .

Sent using Jamii Forums mobile app
Uongo wako ni wa kiwango cha juu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom