Ulishawahi kuwa addicted?

Kipind niko A-level nilikua addicted na porn,..nilivofka chuo nkawa addicted na kutongoza hovyo na kuangalia makalio,yaan asipite mtoto ,..now siko addicted na chochote labda hii simu,maana
 
Mpenzi wa Fifa ila inafika point na saturate, labda kuwe na ushindani mkali sana.
Addiction yangu kubwa nadhani ni internet access, naweza nikavumilia kutowasiliana au kuzima simu mwezi mzima ila kukaa bila internet siku 2 ni changamoto kubwa sana, huwa napenda kusoma vitu vingi sana mitandaoni, hamna kitu naacha.
 
kwakweli nanmie nipo addicted na jf !nasukuma chapat lakini nipoonline napika nipo online mwee! ht mm labda aniweke kikao baba mzaz nitaacha kuchungulia !

kawine niliwah kuwa addicted pia nikaacha kbs !nagusa mara 1 moja ! nikiwa an sononi sana !
Imagine watoto wote hawapo tena nyumbani na wajukuu unaongea nao kwenye mitanda, Kazi ndizo hizo za consultancy leo unayo kesho upo kijiweni, baba anarudi kachooka, magazeti ya home ndo udaku nashinda hapa tu huna jinsi. Nina wadogo, wajukuu na watoto humu kibao na maadui kibao lakini tutakabana humu humu sitoki chezea JF wewe. Wine dawa ya uzee.
 
hahahah hatar hii !hongera mama !
 
kupika kupika kupikaa do ba

hivi alosto haikupati..mazee acha bora bangi kuliko unga doh

Mm natumia unga wenyewel kbs kutoka medelin colombia

Kupika huwezi ww
 
Aiseeee uko ka miee.... Huwa niko busy kweeeli ili tuu nsikose hela!!! Mie nikiishiwaa naumwa kabisaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe tuko wengi....aisee.
I keep hustling ili hii hali isinipate,lakini sasa mambo yakizingiriana na nahitaji pesa, aisee nashauri watengeneze dripu maalumu kaa ajili yetu
 
Aiseeee uko ka miee.... Huwa niko busy kweeeli ili tuu nsikose hela!!! Mie nikiishiwaa naumwa kabisaa
Ni dada walaku wa pesa isee[emoji41] [emoji121] [emoji116]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe tuko wengi....aisee.
I keep hustling ili hii hali isinipate,lakini sasa mambo yakizingiriana na nahitaji pesa, aisee nashauri watengeneze dripu maalumu kaa ajili yetu
 
Usiombe Uwe na addiction ya huba halafu umpendae agundue aanze kukudengulia. Addiction mbaya kweli, dawa ni kutimua mbio
 
Usiombe Uwe na addiction ya huba halafu umpendae agundue aanze kukudengulia. Addiction mbaya kweli, dawa ni kutimua mbio
Hahahahaha

Si mpk uwe huo uwezo wa kutimua mbio
 
Mkuu kwenye mpia hapo hata mimi nimo. Music ni kidogo si sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…