Ulishawahi kuwa addicted?

Nipe mkeka wako wa Leo nitembelee nyota
 
Hukuwahi kuwa na addiction nyingine zaidi ya hii. Hivi penzi linaweza pia kuwa addiction!? Nauliza tu.

Nimejaribu sana kuwaza addiction niliyowahi kuwa nayo lakini namshukuru Mungu kwamba sijawahi kuwa na addiction yoyote ile maishani mwangu naomba hali hii Mungu anijalie iendelee.

 
Hold on....

Siku mojamoja uwe unanitag ukiweka mkeka tubet wote sawa eee [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji3]
 
addicted na music especially good music ...
nikisikiliza tu music, hata kama nina shida gani huwa najihisi freeesh
 
Tatizo ulianza mboyoyooo tokea mchana[emoji14]
We tikitiki inahusiana nn na huu mchezo

Usifananishe kubet na mambo ya ajabu shostitooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]


ehheheheh yangu machooo imagine kwa week let say unapoteza 5000/ nataman ungekuwa ndg yangu ningekuwa nakufinyaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…