Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80

You have called a spade, a spade and not a big spoon Baba Enock!!
 

Kamanda unaweza kupiga breki pale Zero pub?

Kuna bia zako unanidai pale kwa hii yuziful post. Hiyo senksi niliyokugongea haitoshi kukupongeza kwa haya matirio uliyomwaga hapo. Mwenye macho amekusoma na amekuelewa.

Jioni njema bandugu!
 
Kamanda unaweza kupiga breki pale Zero pub?

Kuna bia zako unanidai pale kwa hii yuziful post. Hiyo senksi niliyokugongea haitoshi kukupongeza kwa haya matirio uliyomwaga hapo. Mwenye macho amekusoma na amekuelewa.

Jioni njema bandugu!

Kesho nitakuwa mitaa hiyo kuanzia mishale ya saa 12 jioni
 
halafu ingekuwa vizuri watu wangesema miaka walioyo nayo kwenye ndoa wengine ndio kwanza mwenzi 1 bado wanahisi heaven is here.,

as for me married for almost 3 years never cheat on my DH.

saa zingine naonaga kama wanawake hawacheat vile .....coz haingii akilini inakuwa esp kama umeshaolewa, when do they get time whew may be it's just me lakini naona mama unakuwa na majukumu mengi sana esp kwanza kama upo close na familia yako. utoke kazini uende home sijui uandae chakula, homework ya mtoto/or watoto watching favorite sopie mawazo ya kucheat yanatoka wapi???
 

Wewe ndiyo ujiulize umetokea wapi! Kama wewe ndoa yako iko shwari hucheat na mumeo hacheat unataka kujua maisha ya wenzio ili yakusaidie nini? Pilipili usiyoila ya kuwashia nini? Una maswali ya kipumbuvu kweli kweli. Naona utakuwa umevunja ungo juzi juzi tu ndiyo maana unaibuka na thread za kusadikika karibu kila siku. Achana na kufuatilia mambo ya watu. Wanaume wanacheat na wanawake pia wanacheat dunia nzima na wewe haikuhusu kunusanusa maisha ya wenzio. Acha kuishi katika zama za kusadikika. Wewe usiyeishi kwa mashaka utaishi milele, na mumeo akikuletea gono au ukimwi ndiyo utaachana na mawazo yako ya kusadikika.
 
mimi alikuwa widow na sasa napendwa na mke wa mtu
 
Ni hiyari!

Kama hutaki "kupekuliwa" hii mada umeifungua ya nini?

Mbona unakiogopa kivuli chako mwenyewe?


Na wewe eti ni great thinker! hakuna unachowaza zaidi ila kupekua pekua maisha yasiyowahusu! People with simple minds....
 
Na wewe eti ni great thinker! hakuna unachowaza zaidi ila kupekua pekua maisha yasiyowahusu! People with simple minds....

PELE, si uende kule kwa great thinkers wenzio, tuache sisi vilaza na topic zetu za ukila ukilaza! Please!!!
 

You are definetely not my type, so arguing with you is wastage of my time. you dont even know what you are saying. You are full of bitterness and stress. take a break pal, drink a glass of water and go to sleep. you will be fine when you wake up and thats when you will realize men dont dont talk like that unless they are gays.😛ainkiller:
 
Na wewe eti ni great thinker! hakuna unachowaza zaidi ila kupekua pekua maisha yasiyowahusu! People with simple minds....

and what are you doing here if i may ask? why not go kule kwenye siasa and leave us alone? Please goooooooooooooooooooooooo, we dont need you here.
 

hapa greti thinka limeongea kwa hasira kweli. heheeh inawezekana hela ya cafe imemaliza na bado linataka kupost yuziful post ndio chanzo cha hasira zake. au labda fomu zake za kugombea ubunge hazikupokelewa jimboni/bungeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…