Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
Mimi nilianza kucheat tangu niko na miaka 17. nikiwa single , wakati huo unajua tena at least
once a month. Nimeendelea kucheat baada ya kuoa mpaka nimeona kua siwezi kuacha kabisa
sababu zilizonifanya kua na mademu ya nje ni kutamani kujaribu mitindo mipya kila mara.
nimetembea na watoto wadogo wasio olewa , nimetembea na wake wa watu na wajane
sikuwahi kujulikana na mke wangu hata mara moja japo alikua akifikiria.
 
Subiri zamu yako ije; eti hujajulikana ! Kwisha ha habari yako; anakuangalia tu unavyojitafuna tafuna na vijisababu anakuonea huruma ! kwa taarifa hapo kuna kijana nakusaidia na pia kuna kibosile anatunza mji taratiibu! hala hala hata huyo mtoto wa katikati sio wako!
 
jamani watu bwana mbona tu waonga?wake zenu au waume zenu wanayajua majina yenu ya kijamii forum nini?in case watasoma ndoa zitaharibika'aka mi chichemi'
 
Mimi nilianza kucheat tangu niko na miaka 17. nikiwa single , wakati huo unajua tena at least
once a month. Nimeendelea kucheat baada ya kuoa mpaka nimeona kua siwezi kuacha kabisa
sababu zilizonifanya kua na mademu ya nje ni kutamani kujaribu mitindo mipya kila mara.
nimetembea na watoto wadogo wasio olewa , nimetembea na wake wa watu na wajane
sikuwahi kujulikana na mke wangu hata mara moja japo alikua akifikiria.

naona umebadilisha na user name ili ucoment vizuri make unapost mbili tu imekuaje?we ni wa humu humu ila umeona ukitumia jana lako unaloingilia kila siku mkeo atakujua.nimekustukia.pole sana kuna mambo ujachenji nimekujua wewe ni nani,kuna jinsi fulani unavyo comment i hope na mkeo kesha kushtukia kabla ujamuua na STD.
 
...hahaha... yaani mlivyounga mkono inaonekana tatizo hili sugu limejikita vilivyo katika jamii. Sasa wivu wa nini mke akipandishwa cheo au akienda kulala semina?... No wonder kinadada (wachache) hutumia visababu vikiwemo "eti", semina ni kwa kina mama tu! ha ha ha...

Mpaka sasa mnaosema INAWEZEKANA mmeuchuna kutetea hoja, ...
Eti nyie kinadada, mnapodanganya mnaumwa kichwa almuradi mume asile chakula cha usiku si urongo ule?!

Mbu labda huwa ni kweli wanaumwa au ni njia ya kidiplomasia kusema SITAKI ili njemba isianzishe shari ndani ya nyumba.
 
Da naona wadumisha mila wameshinda kwa kishindo. hii inatisha sana aisee. nitarudi tena.
 
Umeamini sasa? Sasa kuanzia leo ujue kabisa mumeo anaweza kuwa miongoni mwa wadumisha mila wazuri sana. Shukuru Mungu hujajua bado!!
 
Sio suala la kushinda....ni ukweli tu ulivyo....

kwa hiyo unashauri vipi tuukubali na kujua ni hali halisi? kwa hiyo kwa nini watu wanaumia roho wakijua waume zao au wake zao wana cheat? why?
 
Umeamini sasa? Sasa kuanzia leo ujue kabisa mumeo anaweza kuwa miongoni mwa wadumisha mila wazuri sana. Shukuru Mungu hujajua bado!!

sijaamini wala si lazima wangu awe kwenye statistics hizo.
 
kwa hiyo unashauri vipi tuukubali na kujua ni hali halisi? kwa hiyo kwa nini watu wanaumia roho wakijua waume zao au wake zao wana cheat? why?
Ukijua lazima uumie, as long as ulitegemea ni wako peke yako......
 
yaani bwana siku ukigundua kuwa ulichotegemea sio kabisa hata kwa thumni............moyo ni kama una majipu vile!!!!

sasa sijui mtu uishi maisha ya wasiwasi ukitegemea lolote laweza tokea au ndo urilaksi tu ukijiaminisha u r nt alone????
 
Point ya nguvu bht.....just relax and enjoy!
 
Back
Top Bottom