Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Ulishawahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

  • NDIO

    Votes: 48 60.0%
  • HAPANA

    Votes: 33 41.3%

  • Total voters
    80
View Poll Results: Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Voters 111. You have already voted on this poll
  • NDIO

    68 61.26%
  • HAPANA

    43 38.74%
CHEATING OYEEEE!! STOLEN KISSES ARE THE SWEETEST! Ambao ham-cheat poleni sana, mnakosa uhondo!
 
Mimi nilianza kucheat tangu niko na miaka 17. nikiwa single , wakati huo unajua tena at least
once a month. Nimeendelea kucheat baada ya kuoa mpaka nimeona kua siwezi kuacha kabisa
sababu zilizonifanya kua na mademu ya nje ni kutamani kujaribu mitindo mipya kila mara.
nimetembea na watoto wadogo wasio olewa , nimetembea na wake wa watu na wajane
sikuwahi kujulikana na mke wangu hata mara moja japo alikua akifikiria.
mamaaah! kumbe uko hvo duh!
 
Ukitoa tamaa za kijinga jinga na watu kufikiri ni ujanja ku-cheat hakuna kituambacho mke wako hawezi kukupa kuliko mwanamkemwingine labda kama unataka kumuingilia kinyume cha maumbile.

communications ni kitu muhimu sana kwenye ndoa na ni vizuri mkarekebishana kama kuna makosa yoyote na kama haiwezekeni bora muachane hili kila mtu akamtafute huyo mwenye sifa anzo taka.

it was fun cheatin wakati wa uhusiano wa girlfriend kwani unajaribu kufanya research lakini baada ndoa ai make sense ku-cheat kama haukua tayari si ungeendelea kubaki single?.
 
ku-cheat sio solution kwani sababu nyingi tu mtu zinaweza kukushawishi kucheat na kama hizo sababu mmeshindwa kuzirekebisha ndani ya nyumba ni vizuri mkaacha kupotezeana mda kwani mwisho wake waathirika wanakuja kuwa watoto.
 
View Poll Results: Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?

Voters 111. You have already voted on this poll
  • NDIO

    68 61.26%
  • HAPANA

    43 38.74%
CHEATING OYEEEE!! STOLEN KISSES ARE THE SWEETEST! Ambao ham-cheat poleni sana, mnakosa uhondo!

....Lol, umeona eeeh? ha ha haaaa...
 
ku-cheat sio solution kwani sababu nyingi tu mtu zinaweza kukushawishi kucheat na kama hizo sababu mmeshindwa kuzirekebisha ndani ya nyumba ni vizuri mkaacha kupotezeana mda kwani mwisho wake waathirika wanakuja kuwa watoto.

Arsenal Wenger umeongea vizuri sana kama haya yangefanyika kusingekuwa na matatizo kwenye ndoa zetu
 
View Poll Results: Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?Voters 117. You have already voted on this poll
NDIO 7261.54% HAPANA 4538.46%

Kama kawaida, mimi huwa kwenye timu ya Ushindi..........
 
cheaters! alafu mnajipongeza?
naweza kuhisi 90 percent waliovote ndio ni wanaume japo cna ushahidi
 
cheaters! alafu mnajipongeza?
naweza kuhisi 90 percent waliovote ndio ni wanaume japo cna ushahidi

Na hiyo 90% unafikiri wanacheat na wanaume wenzao au wanawake 90%?
 
View Poll Results: Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?Voters 117. You have already voted on this poll
NDIO 7261.54% HAPANA 4538.46%

Kama kawaida, mimi huwa kwenye timu ya Ushindi..........

:A S 109:......:mmph:.......:A S-danger:......:rip:.....😛ray2:.....
 
Binafsi kati ya wanawake kumi walioolewa naowajua sita wanafanya infidelity.....

toba! sasa kwa style hiyo una imani na mama matesha? au ndio umemwachisha kazi na sokoni unaenda mwenyewe?
 
Back
Top Bottom