bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,873
Point ya nguvu bht.....just relax and enjoy!
mi niliisha jirilaksia kitambo.........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point ya nguvu bht.....just relax and enjoy!
hapa bado bht, mimi ni tomaso you know, that seeing is believing!
mamaaah! kumbe uko hvo duh!Mimi nilianza kucheat tangu niko na miaka 17. nikiwa single , wakati huo unajua tena at least
once a month. Nimeendelea kucheat baada ya kuoa mpaka nimeona kua siwezi kuacha kabisa
sababu zilizonifanya kua na mademu ya nje ni kutamani kujaribu mitindo mipya kila mara.
nimetembea na watoto wadogo wasio olewa , nimetembea na wake wa watu na wajane
sikuwahi kujulikana na mke wangu hata mara moja japo alikua akifikiria.
View Poll Results: Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?
Voters 111. You have already voted on this poll
CHEATING OYEEEE!! STOLEN KISSES ARE THE SWEETEST! Ambao ham-cheat poleni sana, mnakosa uhondo!
- NDIO
68 61.26%- HAPANA
43 38.74%
ku-cheat sio solution kwani sababu nyingi tu mtu zinaweza kukushawishi kucheat na kama hizo sababu mmeshindwa kuzirekebisha ndani ya nyumba ni vizuri mkaacha kupotezeana mda kwani mwisho wake waathirika wanakuja kuwa watoto.
....Lol, umeona eeeh? ha ha haaaa...
Mbu unamaanisha nini ??
naona wewe na masaki mnaongelea kitu kimoja ...eeh
View Poll Results: Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?Voters 117. You have already voted on this poll
NDIO 7261.54% HAPANA 4538.46%
Kama kawaida, mimi huwa kwenye timu ya Ushindi..........
cheaters! alafu mnajipongeza?
naweza kuhisi 90 percent waliovote ndio ni wanaume japo cna ushahidi
Na hiyo 90% unafikiri wanacheat na wanaume wenzao au wanawake 90%?[/QUOTwanawake lakini ni vibinti tu sio wake za watu
wanawake lakini ni vibinti tu sio wake za watu
View Poll Results: Umewahi kuwa na mahusiano nje ya ndoa au na mtu mwenye ndoa?Voters 117. You have already voted on this poll
NDIO 7261.54% HAPANA 4538.46%
Kama kawaida, mimi huwa kwenye timu ya Ushindi..........
Hivyo vibinti havina wachumba / wapenzi?
:A S 109:......:mmph:.......:A S-danger:......:rip:.....😛ray2:.....
havina ndio maana vinadanganyika!
Binafsi kati ya wanawake kumi walioolewa naowajua sita wanafanya infidelity.....