Yaani rafiki yngu hadi umenifungulia uzi juu yngu kisa tu nimekuomba elfu 50 sio fair kabisa [emoji1787]Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.
Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.
May be.Utakuwa workaholic...
Biashara binafsi?
Manake waaajiriwa wengi ndo watu wa bar sana...
Wajasiriamali wengi ndo workaholics..
🤣Kwani maisha ya mwanadamu hapa duniani yalitangulia ama kutanguliwa na hivyo alivyoorodhesha na ushangaavyo?Sasa wewe unaishije sasa mkuu ..
Sipati picha lifestyle yako kabisa ...
Kanisani huendi ..
Mpira haumo ..
Movie haumo ..
Hivi ukiamka asubuhi huwa unafanya nini hasa , maana daa unaishi kama saibogiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha yangu nayaweza mimi. Sema nimegundua sio mimi tu.Sasa wewe unaishije sasa mkuu ..
Sipati picha lifestyle yako kabisa ...
Kanisani huendi ..
Mpira haumo ..
Movie haumo ..
Hivi ukiamka asubuhi huwa unafanya nini hasa , maana daa unaishi kama saibogiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi naishi hivyo tofauti ni kwamba yameongezeka mambo mawili...kanisani na movieMaisha yangu nayaweza mimi. Sema nimegundua sio mimi tu.
Kuna wengi wanaishi kama mimi.
Ni kazini, kulala, ukiamka unaperuse mtandaoni, unapika, unaoga. Siku imeisha
Nimekataa vyote
Yaan hata ufanyeje haoni analalamika tu
Kwani ukitumia petrol kuna shida gani mkuu.Njia rahisi ya mtu anayekukwaza ni kumchana tu ukweli wa pale anapozingua, akinuna akakaa kimya ndiyo anakuwa amekusaidia..!
Mkiendelea, kuna namna naamini atakuwa kajifunza hii itamsaidia kupunguza speed...!
Andaa Mawese Nikufumue Malinda Ayo..Maana Mashoga Ndo Zenu Hizo.Unahamu ya kufirw@@@ siyo ?
🤣🤣Nandaa Mawese uje unifumue Malinda Ayo..Maana Mashoga Ndo Zetu Hizo.
Watu wa Type zetu Maofisini Ndio zetu
Sema kweli mdogo wanguHata mimi naishi hivyo tofauti ni kwamba yameongezeka mambo mawili...kanisani na movie
Check Ulivyo Mshamba. Kula udaga Ndo Nini? Nimekwambia Andaa Mawese.. Edit Na Hii ..shoga Wa Kanda Ya Ziwa Wewe.[emoji1787][emoji1787]
Haya ndio matatizo ya bange, sporuts na kitimoto. Utatembea uko wazi. Soon tu nakwambia.
Mimi kwetu MARA, nakula UDAGA angalia usije ukazaa kabla ya December.
🤣🤣🤣🤣Nimekwambia Andaa Mawese..Edit Na Hii ..mimi ni shoga Wa Kanda Ya Pwani
Kwa hii post najiona mimi .Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.
Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.
Maana:
- Situmii pombe
- Situmii sigara
- Situmii ugoro
- Sibet
- Si mshabiki sana wa mpira
- Sivuti bangi
- Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
- Siyo movie enthusiasist
- Kanisani nina muda sana sijaenda
Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
Mwaka huu tutakoma sisi marafiki zako, kazi tunayo[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimeudhika. Sanaaa
Na mkizidi nitaenda hadi bbc kuomba interview
Ni kweli kabisa mdogo wanguSema kweli mdogo wangu
Mtu kama huyo sio rafiki. Huyo ni mtu tu mwenye shida zake ambae labda ameona fursa kuwa karibu na wewe kwamba atasaidika kwa namna moja ama nyingine.
Watu wa hivyo hua ni wabaya sana hasa pale wewe utakapomchukulia kama rafiki, maana kuna siku na wewe utapata shida utegemee na yeye atakusaidia hapo ndio utajua hujui. Mara nyingi watu hawa hata ukimsaidia haridhiki na siku ukiacha kumsaidia ni lawama mtaa mzima.