King Loto
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,581
- 1,357
Wewe mkuu umeuwa 😅 yaaani haupo hata kitu kimoja.Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.
Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.
Maana:
- Situmii pombe
- Situmii sigara
- Situmii ugoro
- Sibet
- Si mshabiki sana wa mpira
- Sivuti bangi
- Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
- Siyo movie enthusiasist
- Kanisani nina muda sana sijaenda
Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
Sasa betting mbona aina haja ya urafiki.