Wewe mkuu umeuwa 😅 yaaani haupo hata kitu kimoja.Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.
Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.
Maana:
- Situmii pombe
- Situmii sigara
- Situmii ugoro
- Sibet
- Si mshabiki sana wa mpira
- Sivuti bangi
- Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
- Siyo movie enthusiasist
- Kanisani nina muda sana sijaenda
Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
Betting inaambatana na ufuatiliaji mkubwa wa mpira.Wewe mkuu umeuwa 😅 yaaani haupo hata kitu kimoja.
Sasa betting mbona aina haja ya urafiki.
Ni sawa lakini mimi huwa nina bet but sikogi attached na marafiki inshort mimi nina sifa kama za kwako wewe nataka niwe hivyo ulivyo zaidi.Betting inaambatana na ufuatiliaji mkubwa wa mpira.
Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.
Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.
Maana:
- Situmii pombe
- Situmii sigara
- Situmii ugoro
- Sibet
- Si mshabiki sana wa mpira
- Sivuti bangi
- Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
- Siyo movie enthusiasist
- Kanisani nina muda sana sijaenda
Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza
Ww ni mwanaume kweli?Mimi sihitaji marafiki wa hivyo. Binafsi nina marafiki wachache sana na ni wa muda mrefu sana.
Kwanza hata mtu akitaka kuwa na urafiki na mimi, lifestyles yangu itamshinda atajitoa tu mwenyewe.
Maana:
- Situmii pombe
- Situmii sigara
- Situmii ugoro
- Sibet
- Si mshabiki sana wa mpira
- Sivuti bangi
- Siyo mtu sana wa parties ( Birthdays, night clubs n.k )
- Siyo movie enthusiasist
- Kanisani nina muda sana sijaenda
Sasa kwa hali hiyo, utakuwa na urafiki na mimi utaweza ?
Mimi siyo Mwanaume kama wewe.Ww ni mwanaume kweli?
Nina shaka uwanamume wako, badilika mzee mwenzangu gonga hata bangi kama pombe miyeyusho.Mimi siyo Mwanaume kama wewe.
Mimi ni MWANAMUME. Ukihitaji mashine nitakugonga mpaka utapike mbege.
🤣🤣Nina shaka uwanamume wako, badilika mzee mwenzangu gonga hata bangi kama pombe miyeyusho.
Kuna jamaa tulisoma nae na kumaliza Diploma 2005, juzi kanipigia ana shida ya 200k. Yaan baada ya 16yrs ndio mtu anakutafuta na anakuja na shida.Huwezi kunikopa wakati hatuna mazoea sana. Au labda tuna miezi kibao hatujaongea, ghafla unanipigia simu kukopa. Haiwezekani.
Kuna jamaa tulisoma nae na kumaliza Diploma 2005, juzi kanipigia ana shida ya 200k. Yaan baada ya 16yrs ndio mtu anakutafuta na anakuja na shida.
Alikosa msaada kwakweli.
Chagua nani wa kumuita rafiki,sio rafiki awe mzigo kwako au akiwa na shida na wewe tu.Rafiki ni kwenye shida na raha.Anataka umpe kipaumbele kwa kila kitu anasahau nawe una maisha yako pia
Kabisa ..na siku akitokea mtu anayeweza kumsaidia zaidi yako urafiki na ukaribu wenu unakufa kabisaaaMtu kama huyo sio rafiki. Huyo ni mtu tu mwenye shida zake ambae labda ameona fursa kuwa karibu na wewe kwamba atasaidika kwa namna moja ama nyingine.
Watu wa hivyo hua ni wabaya sana hasa pale wewe utakapomchukulia kama rafiki, maana kuna siku na wewe utapata shida utegemee na yeye atakusaidia hapo ndio utajua hujui. Mara nyingi watu hawa hata ukimsaidia haridhiki na siku ukiacha kumsaidia ni lawama mtaa mzima.
mkuu hii shida mm ninayo hadi sasa ivi ,yaani ukiwa na shida ukiniomba msaada naona aibu kukupotezea naona ni Bora hata nikukopee lakini nisikuache ivo ,hili ni tatizo ambalo imekuwa sugu kwangu.Zamani nilikuwa siwezi kuacha kumsaidia mtu akinililia shida Ila kuanzia 2015 neno sina pesa limekaa mdomoni kwangu kama mate na wala sijali ninachoweza msaidia ni kumuonesha sehemu panapokopesha Tu basi
....wa hivyo sichelewi kumwaga!Ushawahi kuwa na rafiki kila siku ana shida yeye, analalamika yeye tu akiwa na shida haraka kwenda.
Rafiki anataka kukugeuza kama chawa wake hivi. Kukopa sasa pesa ndio usiseme
Ulifanyaje ulivyokuwa na rafiki wa hivi muda wote analalamika anaona humtendei vyema tu.