mimi ni mimi
Senior Member
- Nov 2, 2012
- 129
- 51
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umbea hakuna aliyenipa siri yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nilikuwa muimbaji maarufu bwenini.....mfano weekend nilikuwa naanza kuimba alfajiri...walikuwa wananiita kiredio......
nahisi kuna ambao nilikuwa nawakera ila kwa sababu nilikuwa na mdomo walinyamaza tu
Hahaha kama nakuonaUmbea hakuna aliyenipa siri yake
Si ndo maana anatupaga stories zote za kwa mtogole[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha kama nakuona
Si ndo maana anatupaga stories zote za kwa mtogole
Na ukute hasutiki,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani kanichekesha!
Ndio hapo chaha!Na ukute hasutiki,
There was a price to pay, unakuta story zinaendelea ni kifikia mimi wa nan yams za au wanaongea general topics kama maharaja ya Leo, viatu it used to hurt me.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani kanichekesha!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]There was a price to pay, unakuta story zinaendelea ni kifikia mimi wa nan yams za au wanaongea general topics kama maharaja ya Leo, viatu it used to hurt me.
kuna siku tulinusurika kufukuzwa shule kisa kuimba usiku......bahati yetu shule ilipata msiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiredio wetu daaah!! I miss those days.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna siku tulinusurika kufukuzwa shule kisa kuimba usiku......bahati yetu shule ilipata msiba