Ulisifika Kwa Lipi Shuleni....

Ulisifika Kwa Lipi Shuleni....

Mi nilisifika kwa akili na kujitolea kufundisha wenzangu. Walimu walinipenda sana. Kuna wakati nilikuwa napelekwa kufundisha wanafunzi wenzangu madarasa mengine..wanafunzi wasiopenda shule walinichukia maana mwalimu asipoingia darasani mimi Nilikuw namfata ofisini tunakuja wote darasani. Mitihani ikikaribia darasa zima lilikuwa rafiki kwangu. Kila mtu alitaka tudiscuss wote. Hiyo ni o- level Dr.salmin Amour singida.
 
ubishi
nilikua naweza hata kubishana hata na darasa zima hata kama ni uongo mi natetea tu sikua tofauti na ccm

mada maarufu ni bahari za ulaya hazina maji ya chumvi
ubishi wa kijinga hadi leo huwa najichekaga
Umenikumbusha DEMBA
 
nilikuwa muimbaji maarufu bwenini.....mfano weekend nilikuwa naanza kuimba alfajiri...walikuwa wananiita kiredio......
nahisi kuna ambao nilikuwa nawakera ila kwa sababu nilikuwa na mdomo walinyamaza tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiredio wetu daaah!! I miss those days.
 
uwizi wa vichongeo pencil ufutio na madaftar vilinipa umaarufu mkubwa sana
 
Nilisifika kuwa mtu mrefu kuliko wote shuleni kaunzia walimu mpka wanafunzi hakuna alinkuta kwa urefuu
 
Mi ni nilikua mcelewaji maarufu halafu nakaa pembeni tu na fence ya shule. Sikuwahi kukaa assemble
 
Tupo camp ya umisseta sasa kimbembe pana mwalimu mmoja wa kike akifundisha netball kiherehere kweli saa kumi na nusu alfajiri filimbi zinaanzia bwenini kwetu mara anataka kuingia na mlango jambo hilo lilitukwaza sana ukifikiria pana kiubaridi cha nguvu miezi hiyo ya sita.
Watu tukakaa kama kamati jambo likatafunwa na jibu tukapata kesho yake asubuhi kaja kama kawaida mwenyewe alishangaa mlango filimbi ya kwanza tu ushafunguliwa akaanza kusifu "naona tumeanza kuele. ...sauti ikakata! baada ya kuona kila upande MIPINI imesimama watu wamejifunika shuka kuanzia kifuani kwenda juu huku chini wamemuachia mwalimu alinde aligeukia hapo hapo na ikawa mwisho wa kuja kutuamsha akawa anasema tu "bweni lile washenzi sana "
 
Kupiga machata hadi nyumba za walimu...
 
kuna siku tulinusurika kufukuzwa shule kisa kuimba usiku......bahati yetu shule ilipata msiba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ama kweli kufa kufaana!! Ile siku ilikuwa ya majonzi yaliyochanganyika na furaha. Hivi ule wazimu mliutoa wapi? Mnaimba wanaume wanajibu!!! Alafu usiku sijui saa6!!!!
 
pamoja na kuwa kichwa darasan pia nlisika kwa wiz sana m na jamaangu kpenz, mal yoyote ya shule tuliiba mbao mahnd maharage kahawa n.k. tukio kubwa 2lilofanya nkiwa form4 n kuiba majembe, mapanga na makwanja/fyekeo za shule. tulmshawish jamaa yetu mmoja agombee ustoo kipa na tukampigia kampen had akashnda zen akawa anatupa funguo za stoo 2nabeba majembe mapanga na fyekeo vilvyokua vnaletwa na form 1 wanaporpot na kwenda kuyajumlisha kwa wanaopeleka kwenye minada. tuliiba majembe panga na fyekeo nyng sana had shule ikapata uhaba wa vifaaa. Baada ya upelelez mkal tukabainka nakumbuka 2lnusulka kufukuzwa shule na kuambiwa tuje ck ya mthan
 
Back
Top Bottom