mimi ni mimi
Senior Member
- Nov 2, 2012
- 129
- 51
Mi nilisifika kwa akili na kujitolea kufundisha wenzangu. Walimu walinipenda sana. Kuna wakati nilikuwa napelekwa kufundisha wanafunzi wenzangu madarasa mengine..wanafunzi wasiopenda shule walinichukia maana mwalimu asipoingia darasani mimi Nilikuw namfata ofisini tunakuja wote darasani. Mitihani ikikaribia darasa zima lilikuwa rafiki kwangu. Kila mtu alitaka tudiscuss wote. Hiyo ni o- level Dr.salmin Amour singida.