Ulisikia muziki huu kwa mara ya kwanza Ukiwa wapi?

Ulisikia muziki huu kwa mara ya kwanza Ukiwa wapi?

Mazengo Secondary School
Franklin Boukaka alinyongwa mwaka 1972; alitoa wimbo huo mwaka 1970 ukampa umaarufu sana na kusababisha apendwe sana na wanamapinduzi wa wakati huo waliochukia wakoloni weupe kuondoka na kupata wakaloni weusi; jambo hilo lililomfanya achukiwe na viongozi wa Congo wakati huo na kusababisha anyongwe.
 
Kool & the Gang : "Let's Go Dancin' (Ooh La La La)"

Mimi niusikia kwa Mara ya kwanza Morogoro mwaka 1982/83 kwenye Bilibi Disco ambayo nadhani ilikuwa pia inamilikwa na Joseph Kusaga. Ulikuwa ikirudiwa rudiwa sana kwa vile wat waliupenda sana


View: https://www.youtube.com/watch?v=JWuoGZAz94c

Jose hakuwa akimiliki any disco 82/83, japo I was still a kid lakini kulikuwa na number of young dudes(na Jose akiwemo) waliokuwa wakipiga kwenye houseparty za zama hizo. Unajua zile vyombo vya nyumbani lakini ndiyo vinatumika kwenye home yards au summits na mna-enjoy sana tu.
Back to the topic: Robert 'Kool' Bell, JT and others(Kool and the Gang) enzi za hizo wengine tulikuwa watoto hata houseparty hizo labda kuzingulia madirishani but I used to love music na niliimba in my own funny ways lmao. Childish yeah but it was all vibe.
 
Back
Top Bottom