Ulisoma english medium au shule ya serikali? Na nini unakumbuka kuhusu shule yenu?

NB: Me ni mtoro konki toxic mtoro, nishawahi kufatwa na Discipline,Academic, na Biology teachers home wakisema niende skuli baada ya kukaa utoro 2months.
Mpwa, kumbe ulishashindikana tangu mdogo. Daaah 🀣 🀣
 
Sasa umekua!
 
Saa mshangazi nn tenaπŸ˜‰, unanifuria nnπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, nisha kupa tahadhari juu, 'usinvimbie' nawe unafura tu bac naomba nichangie operesheni "Ondoa Kovu"
Wakati mwingine nyie vijana bila kufokewa kidogo hamkitulizi 🀣 🀣 🀣
Hili kovu sitaki liondoke buana, ni kumbukumbu na kila anayeliona analipenda.
 
Nilisoma shule za serikali kuanzia primary, sekondari mpaka chuo.
Nikijitathmini sasa hivi, nina uelewa wa mambo mengi kuliko wengi wa rika langu bila kujali walisoma shule za EM au serikali; zote ni juhudi binafsi.

Pamoja na hayo, mwanangu anasoma shule ya binafsi na hiki kijacho, nimeoanga kisome Cambridge Schools. Nina uhakika shule za binafsi zinarahisisha mambo ilhali kwa shule za serikali, ukitoka, jua wewe kichwa kwelikweli.
 
Umenikumbusha mbali sana πŸ˜… nimesoma Shule ya serikali na nilipoingia form one hakuna nilichokua naelewa πŸ˜€
 
BothπŸ˜‚πŸ˜‚
Nilianzq kawaida badae nikahama
 
Nimesoma shule za serikali, nakumbuka shule ya msingi kuna mwamba alikuwa memkwa amekomaa sana tulikuwa tunamuita juma vigimbi, huyo mwamba hakuja na mbolea na aligoma kumwagilia maua akachapana na mwalimu wa hisabati, ticha alikula mitama yakutosha tu wanafunzi wa darasa la saba tukashangilia sana... tukatembezewa stick darasa zima.

sijui kama watoto wa sasa wanajua maana ya memkwa 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…