City Owl
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 3,475
- 7,571
Hehehe..nyinyi ndo mlikuwa mnatuchafua maliwatoni. kule mlikuwa mnatumia vyoo vya kulenga. huku mmekuta vyoo vya mchawi mweupe, hessian.
mtu anaingia maliwato anapanda na viatu vyake ile sehemu ya kukalia anashusha mzigo anasepaš
Bahati nzuri, nilijifunza matumizi sahihi ya vyoo mapema.
Pamoja na kusoma shule za serikali, nimetumia hivyo vyoo vya ku-flush tangu level nikiwa ya sekondari (nyumbani).
Chuo nilikuwa nanunua ile bundle nzima ya rolls za TP maana kukalia vile vyoo vya Hall 2 na Hall 5 ilibidi kutandaza TP nyingi sana.