Hehehe..nyinyi ndo mlikuwa mnatuchafua maliwatoni. kule mlikuwa mnatumia vyoo vya kulenga. huku mmekuta vyoo vya mchawi mweupe, hessian.
mtu anaingia maliwato anapanda na viatu vyake ile sehemu ya kukalia anashusha mzigo anasepa😜
Ilienda na kitu changu.Yani kutoka shule ya msingi mpaka leo unaitafuta
Kitu chako ganiIlienda na kitu changu.
Usitupangie, tunaandika tunavyopenda. Kuna mtu amekulazimisha kuja kuisoma hii nyuzi? au ni mambo ya kipumbavu tu unaendekeza?Hii thread yako ina mchango gani wa kimaendeleo ktk jamii?mbaandika tu kila mnachoharisha
Daaah wewe lazima shule uliifurahia sana, you lived well 🙌 !Nilisoma Kayumba level zote.
Primary, kuanzia std 1 had 4 nilikua kiongozi wa darasa, std 5 nilikua kiongozi wa michezo, std 6 na 7 nilikua kiongozi wa Taaluma.
O level, 4m 1 had 2 nilikua kiongozi wa usafi na mazingira, 4m 3 nilikua kiongozi wa Nidhamu na Malezi.
A level, nilikua General secretary.
University, sikua na uongozi wowote, [emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha ya primary nilifurahia mno, yalikua na heka heka nyingi plus urumbi urumbi mwingi
Maisha ya O level, niliyafurahia kwa kiasi na kuanzia 4m 3 maana ndo nilikua nshaizoea shule.
Maisha ya Advance, sikuyafurahia maana nilikua nakimbizana na madesa huku muda ni mchache.
Maisha ya university, hapa nili enjoy, kuna tuvitu vitu vilikua vinani turn on mnoo. Yaan ilikua full burudaniii.
......
Miswaki kama yote! Halafu unakuwa MJEDA au TISSINGA 🤣D yote hio kwani nataka kuwa daktari 😹
😹
Huyo Bwana atafikia mahali atachoka 🤣Mapito ya mwenye Haki ni Mengi ila Bwana humwokoa nayo 🤣
😳 😳kuna tuvitu vitu vilikua vinani turn on mnoo. Yaan ilikua full burudaniii.
Achoke kwa lipi hahaha 🤣 my dyadayaHuyo Bwana atafikia mahali atachoka 🤣
Umewazaa nn? [emoji23][emoji23][emoji23]😳 😳
Tuvitu mh tuvitu gani?
Kukuturn on
We Coca wewe Cocaa hebu elezea kinaga ubaga
[emoji23][emoji23]Umewazaa nn? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wee chuo kuna tuvitu vitu vya kufanya mtu u enjoy.
Wee hujui kwan? Lol
Binafsi nilikuwa nashinda kwenye miembe na Mizambarau kule Tabora wakati wenzangu wapo darasani na Siku zote nilikuwa nakaa shule masaa Manne tu either Yale ya asubuhi au ya mchana hakika Maisha ya shule yalikuwa mazuri.Kwa uelewa ulionao sasa, unafikiri ungesoma shule tofauti ingekusaidia kwenye maisha, ajira au biashara?
Je, watoto wako watasoma shule kama uliyosoma wewe au utawapeleka kwingine?
Binafsi nimesoma shule ya msingi ya serikali, mkoani Tabora. Nakumbuka nilikua na eneo langu la bustani la kumwagilia na kusafisha kila asubuhi, walimu walikua wakarimu sana na nilifurahia shule.
Vifaa vya darasani vilikua duni, bado nina kovu kubwa pajani la kukatwa na viti vya chuma vilivyokua vimechakaa.
Sekondari nimesoma shule ya private, tulikua tunachagua vyakula na kutengeneza meal plans kila term.
Watoto wangu wamesoma EM, kwa sababu baba yao alitaka wasome huko.
CC:
Nomadix
makutupora
realMamy
Mallerina
Mizambarau 🤣 Daaah, umenikumbusha mbali sana!Binafsi nilikuwa nashinda kwenye miembe na Mizambarau kule Tabora wakati wenzangu wapo darasani na Siku zote nilikuwa nakaa shule masaa Manne tu either Yale ya asubuhi au ya mchana hakika Maisha ya shule yalikuwa mazuri.
Ila wewee! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio utaje hutotuvitu sasa, mbona unatuhide kama ni tuzuri.