Ulitamani kuwa nani?

Nilitamani kuwa daktari wa magonjwa ya wanawake na watoto baada ya kuona mtoto wa aunt yangu akiugua sickle cell akiteseka mpaka nikawa nahisi hapati huduma stahiki.

Lakini nimekuja kuwa freight forwarder na mfanya biashara .
Pole Sana....hongera pia
 
Mbona Kama uliipoteza mwenyewe??
 
Nilitamani na natamani kuwa kwenye mashindano ya mbio za magari, ila sasa ni mchuuzi tu.
 
Mbona Kama uliipoteza mwenyewe??
Kuna mtu mmoja alikua ananishauri nilimsikiliza kumbe ananitoa kwenye reli. Ivi inawezekana nikaomba college ya afya nikaenda kusoma?
 
Namshukuru Mungu sana....nilitamani kuwa yule ambaye hatimaye nilikuja kuwa, tena na zaidi !!
 
Kuna mtu mmoja alikua ananishauri nilimsikiliza kumbe ananitoa kwenye reli. Ivi inawezekana nikaomba college ya afya nikaenda kusoma?
Yeah exactly unaweza ukaomba na ukarudi kusoma lakini safari hii listen at your self.. do not depend on others self's what they say
 
Nilitamani niwe Rais wa Masela
 
Yeah exactly unaweza ukaomba na ukarudi kusoma lakini safari hii listen at your self.. do not depend on others self's what they say
Kitu nilichogundua watu wengi hupoteza malengo yao kama hawana watu wazuri wakuwashauri. Kwa sasa wadogo zangu nawalea kwenye njia sahihi katika kuchagua na kufanikisha wanavyovipenda.
 
Nilitamani kuwa Mwanaheria, lakini peer pressure ilinisukuma vibaya, pia kukosa ushauri mzuri na kujiamini kulipoteza. Nilifaulu vizuri sana form six, nikaambiwa sheria ngumu sana, utadisco, nikaomba sheria UDSM nikapata ila nikasema wameniambia sheria ngumu, nikaacha kwenda kusoma sheria nikaishia kusoma UDOM course nyingine kabisaaa BA DS. Ila I believe whatever happen, it happens for a reason, With what i studied imenipa fursa na opportunity nyingi sana nilifanikiwa na kusoma MA, Namshukuru Mungu i am not where i wanted to be, but I am in a place where I not used to be.
 
Mi nlitamani kuwa mwanajeshi enzi hizo ikashindikana kupewa nafasi,
Sasa nna ndoto ya kuwa jambazi la kutupwa ili nijikwamue na huu ugumu wa maisha ila cjajua wapi ntapata siraha!
Mkuu Usiwaze Kuhusu Silaha Nenda Pale Mizinga Ukawaambie Unahitaji Bunduki Kwa Ajili Ya Kutafutia Riziki Watakupa Tu Wala Usiogope ,,, !
 
I second you, watu wengi tulipoteza na wanaendelea kupoteza muelekeo na dreams zao kwa kukosa ushauri au kwa kupata ushauri mbaya. Especially unakuta pale wewe waliokuzunguka hawana exposure ya kutosha. Yani watu wengi sana wanapotes choice za what to study kwa University level. Mimi pia muhanga wa kukosa ushauri mzuri
Kitu nilichogundua watu wengi hupoteza malengo yao kama hawana watu wazuri wakuwashauri. Kwa sasa wadogo zangu nawalea kwenye njia sahihi katika kuchagua na kufanikisha wanavyovipenda.
 
Ni kweli kabisa aisee.
 
Nimegundua Kati ya watu kumi mmoja ndo hufanikiwa kukamilisha ndoto yake wengine huangukia kwenye kazi ambazo hawakupanga

But whatever ishallah maadamu mkono kinywani
 
natamani kuwa na pesa nyingi saaana ili nisaidie ndugu zangu na jamii yangu hasa katika mambo ya mmsingi tu i.e Elimu, Afya na Biashara...

EEEnh Mwenyezi Mungu, nisaidie..
 
Nilitamani kuwa mwanajeshi, nikazuiliwa kujiunga jeshi kwa kuwa eti "huko jeshini nitaliwa sana"

Sahivi natamani kuwa Tajiri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…