Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Sana....hongera piaNilitamani kuwa daktari wa magonjwa ya wanawake na watoto baada ya kuona mtoto wa aunt yangu akiugua sickle cell akiteseka mpaka nikawa nahisi hapati huduma stahiki.
Lakini nimekuja kuwa freight forwarder na mfanya biashara .
Mbona Kama uliipoteza mwenyewe??Nilitamani kuwa daktari. Nikajikuta nimeangukia kuwa HR consultants. Form four nilifaulu vizuri nikapangia form 5 tosanaganga combination ya PCB. Nilikosa mtu wa kunishauli, nikaitosa tosa maganga nikaenda private nikasoma EGM, University nikasoma BCOM-HRM hapo ndio ndoto ya udaktari ikapotea kabisa.
Kuna mtu mmoja alikua ananishauri nilimsikiliza kumbe ananitoa kwenye reli. Ivi inawezekana nikaomba college ya afya nikaenda kusoma?Mbona Kama uliipoteza mwenyewe??
Yeah exactly unaweza ukaomba na ukarudi kusoma lakini safari hii listen at your self.. do not depend on others self's what they sayKuna mtu mmoja alikua ananishauri nilimsikiliza kumbe ananitoa kwenye reli. Ivi inawezekana nikaomba college ya afya nikaenda kusoma?
Kitu nilichogundua watu wengi hupoteza malengo yao kama hawana watu wazuri wakuwashauri. Kwa sasa wadogo zangu nawalea kwenye njia sahihi katika kuchagua na kufanikisha wanavyovipenda.Yeah exactly unaweza ukaomba na ukarudi kusoma lakini safari hii listen at your self.. do not depend on others self's what they say
Mkuu Usiwaze Kuhusu Silaha Nenda Pale Mizinga Ukawaambie Unahitaji Bunduki Kwa Ajili Ya Kutafutia Riziki Watakupa Tu Wala Usiogope ,,, !Mi nlitamani kuwa mwanajeshi enzi hizo ikashindikana kupewa nafasi,
Sasa nna ndoto ya kuwa jambazi la kutupwa ili nijikwamue na huu ugumu wa maisha ila cjajua wapi ntapata siraha!
Kitu nilichogundua watu wengi hupoteza malengo yao kama hawana watu wazuri wakuwashauri. Kwa sasa wadogo zangu nawalea kwenye njia sahihi katika kuchagua na kufanikisha wanavyovipenda.
hahaha ... Chair Fire ... nyama yake ... tamuuuu ... nakuonea wivu mkuu ...Nilitamani kuwa Rais, lakini nimekuwa mfugaji mkubwa wa nguruwe nchini.
Ni kweli kabisa aisee.I second you, watu wengi tulipoteza na wanaendelea kupoteza muelekeo na dreams zao kwa kukosa ushauri au kwa kupata ushauri mbaya. Especially unakuta pale wewe waliokuzunguka hawana exposure ya kutosha. Yani watu wengi sana wanapotes choice za what to study kwa University level. Mimi pia muhanga wa kukosa ushauri mzuri