soldier MAN
Member
- May 13, 2024
- 51
- 100
Well said!Kutongoza inahitaji kipaji na hua ni aina fulani ya kujishusha,
So,mimi hua sitongozi bali nanunua tu,proccess ya kutongoza ni ndefu na muda ni mchache.
Mri wa miaka 13.Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza mara ya kwanza nilikuwa na uoga flani ambao baadae uliisha je ww ilikuwaje wakati unatongoza?
Ulipiga mkuu?Nini maana ya kutongoza. Kutongoza ni process ya kuomba shida za mwanamke ziwe zako twende kwenye mada husika nilitongoza mwanamke wa miaka 38 Huku Mimi nikiwa na miaka 19 TU!
Yeah! nilipiga office kwake alikuwa mwalimu wetu wa physics form six advance.Ulipiga mkuu?
Ukimaliza kusoma Naomba samare lo 🙇
Na Unaweza kuiomba kwa miezi 6 unakuja mwaga Wazungu ndani ya dakika mbili.Ya nini kujieleza kwa ajili ya kitu ambayo unaweza nunua??