soldier MAN
Member
- May 13, 2024
- 51
- 100
Mimi nilitongoza kwa mara ya kwanza nikiwa na umri wa miaka 16. Je na ww ulitongoza mara ya kwanza ukiwa na umri gani? Na ulikuwa na hali gani wakati unatongoza, kwa mfano mm wakati na tongoza mara ya kwanza nilikuwa na uoga flani ambao baadae uliisha je ww ilikuwaje wakati unatongoza?