Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Hao wa kuwakuta sealed unaweza bahatisha 1 Kwa elfu 1

Ni wachache sana nowadays
 
Mko wa chache sana wa hivi ..ila wengi wanapenda sherehe maana ina faida
Mwenyewe nimestaajabu, Kuna wengine unaweza Kuta mmekaa na kuzaa hata watoto Wana miaka 20 plus lakini ikipatikana nafasi anataka muende mkafanye sherehe ya Ndoa yenu hata kama mmlifunga miaka 30 iliyopita eti kisa hamkufanyaga sherehe wakati huo πŸ™ŒπŸ˜œ
 
Mimi it was a simple thing, sikuchangisha mtu hata mia, na nukafanya kitu kidogo tu coz sikua na uwezo those years.
Bajeti-2,000,000
Idadi ya watu-55
Ilikua simple sana.
 
Mimi it was a simple thing, sikuchangisha mtu hata mia, na nukafanya kitu kidogo tu coz sikua na uwezo those years.
Bajeti-2,000,000
Idadi ya watu-55
Ilikua simple sana.
Kwa kipindi hicho unaweza kukuta hiyo 2M ilifanya watu wale/wanywe na kusaza

Congrats Mkuu πŸ‘πŸ‘
 
Hao wa kuwakuta sealed unaweza bahatisha 1 Kwa elfu 1

Ni wachache sana nowadays
Ila kumtolea mahari used inataka moyo sana

Unalipia mahari manzi ambaye watu wamemla bure kabisa na bado wataendelea kumla hata baada ya kuolewa

Imagine unalipia honeymoon hotel kubwa halafu kuna wahuni walimmega tu lodge ya buku 10

If she slept with other men for free should be offered for free
 
Ukiona hapendi sherehe ujue kazidi umri wa ujana/ubinti ...hahahahaha yaani ni kama kaupita umri ule wa kupenda sifa
 
Mkuu ukiwa na mtazamo huu kweli mabinti zetu mtawaoa kweli?

Wengine waliingia kwenye mahusiano tofauti tofauti kutokana na kukosa watu serious

Unakuta Leo anadate na wewe akikuona huna u-serious kwenye maisha na Mipango anaamua muachane na kujikuta kudate na mwingine

Kumbuka Wanaume hatuwezi kuingia Kwenye mahusiano bila kutafunana (Niliwahi kuachana na Binti aliyekuwa hataki kunipa tamu yake eti hadi nimwoe miaka ile ya Giza)

Tukumbuke pia, Maumbile yetu Wanaume yanatofautiana.

Bunduki ninayoimiliki Mimi inaweza kuwa tofauti na bunduki ya Mwanaume mwingine.

Imagine huyo Mwanamke ametembea na wewe then akaja kutembea na Mimi, baadaye lazima uje uone utofauti wa Maumbile yake 😜
 
Ukiona hapendi sherehe ujue kazidi umri wa ujana/ubinti ...hahahahaha yaani ni kama kaupita umri ule wa kupenda sifa
Hahahaha.............nadhani ile kutambiana na wenzake kwenye magroup yao huko Whatsapp yanachangia pia

Akiwa mtu mzima kiasi anakuwa na mtazamo wa kiutuuzima kidogo πŸ€—
 
Naam sio ukatili ni kubana matumizi. Mtakula maini OG ndoa ikifikisha miaka 10.
Hahaha..........ngoja tuwe wapole tu, miaka 10 kwenye Ndoa sio mingi

Ndiyo kwanza kama mlipata mtoto atakuwa darasa la 5 tu 😜
 
Sio mbaya mkuu, kikubwa uzima na amani.
 
Ngoja nimfiche kabisa Bibi yako asije kuona tangazo lako hapa πŸ€—

Vijana hamchelewi kumpa ofa ya kumpeleka Vacation Zanzibar 😜
Yani kwenye harusi menyu ni kande alafu nmpeleke mtu vakesheni znz? Nachoweza kumpelekea ni moto tu huyo mlengwa πŸ˜‚
 
Sio mbaya mkuu, kikubwa uzima na amani.
Kabisa Mkuu

Ukitaka uone nyumba chungu, hakikisha hamko kwenye good term na Mkeo nyumbani

Hata kama hiyo nyumba mnayoishi ina Kitanda cha shilingi milioni 9 utakiona kichungu sana hakika 😜
 
Tumesababisha sisi wenyewe wanaume tumeshusha sana standards za wanawake wa kuwaoa

Baba zetu na babu zetu kigezo kilikuwa awe bikira. Na hata Mungu mwenye anataka iwe hivyo

Tukaja tukashusha hiyo standard mpaka kuoa wasio bikira

Ikaja watu wameanza kuoa single maza mwenye mtoto mmoja

Sasa hivi wanaume wanaoa single maza wenye watoto 3 na kila mtoto ana baba yake

Kama haitoshi wengine wameamua kufanya maisha na malaya kabisa

Wanaume tukikaza kwenye standards za wanawake wa kufanya nao maisha watatunza tupu zao badala ya kuchanua ovyoovyo mapaja

Cha ajabu wanawake miaka yote hiyo hawajashusha standards wanataka wafanye maisha na mwanamume mwenye kibunda, kazi nzuri na status

She'll judge you by your pocket

The more reason you should judge her by her body count or being non-virgin

The game is brutal but still fair
 
I'm real blessed Kwa kweli, labda Kwa kuwa nilioa miaka ile hakuna smartphone Mwaka 47 πŸ€—

Ila to be honest, miaka hii changamoto ni kubwa sana aisee, ukibahatika shukuru Mungu

Hata kama utapata Singo Mama mwenye watoto 3, hakikisha na wewe anakuzalia watoto wako 4

Hiyo ndiyo principal yangu πŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…