Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Hahaha..........unasema kweli Mkuu ama unatania?

If so, you might be matured enough

Hauna feature za kislay queen πŸ‘πŸ‘
Ni kweli yangu kwenye vinywaji na chakula ilinigharimu 360k tumetoka kanisani hao tukaelekea shambani kukagua kazi, niko matured lkn wapo wanawake umri wangu na zaidi huwaambii kitu kuhusu shughuli

Unakuta mtu anaandaa shughuli kubwa eti birthday, kipaimara komunio ubatizo ujinga ujinga tu
 
Wengine geresha badae wanadaiana na kuanikana mi si mtu wa makundi sana ndo maana sipendi shughuli zisizo na ulazima
Nakwambia mi mpk leo kuna watu wametununia dada mkubwa kisa hatukwenda na trend....na ni watu wazima kabisaaaa. Yani watu wako tayari waone mmekaa pamoja mmezaa na watt kumi na hawahuzuniki wala kukasirika, sasa siku jifanye mnaenda kufunga ndoa kimya kimya bila kelele, ndo utajua hujui...unanuniwa tena na watu wazima kabisaaaa....πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kuna uzi unafanania huu niliandika kuwa watz tunapenda vitu visivyo na maana ikiwemo hizo shughuli, mi yangu ilileta zogo sana wababa wa miaka 60+ na wake zao ma aunt nk wakati nilitegemea wangefurahi nimewapunguzia gharama, uzuri mi mwenyewe kauzu sijali wala nini na simu zao nilifuta, yani hata kope hanishtuki
Watz akili hatuna hizi mambo huwezi zikuta ug au kenya eti kununiwa kisa mualiko, nonsense
 
You had simple wedding ever

Hongera Mkuu kumwongoza mwenzio njia salama.

Maana inapotokea Mume ameyumba Kiuchumi baada ya kutumia fedha zake nyingi kwenye harusi, mtakao lala njaa ni wewe na Watoto.

Pokea Maua yangu πŸ‘πŸ‘
 
Wanahitajika Wanawake kama ninyi zaidi kubadirisha jamii zetu

Congrats Mkuu πŸ™Œ
 
Watanzania tunapenda shughuli Mkuu πŸ˜…
 
You had simple wedding ever

Hongera Mkuu kumwongoza mwenzio njia salama.

Maana inapotokea Mume ameyumba Kiuchumi baada ya kutumia fedha zake nyingi kwenye harusi, mtakao lala njaa ni wewe na Watoto.

Pokea Maua yangu πŸ‘πŸ‘
Kawaida tu sipendi matashtiti na hekaheka uzuri na mwenzangu nae ni hivyo hivyo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…