Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Faida ipi wanayopata?Mko wa chache sana wa hivi ..ila wengi wanapenda sherehe maana ina faida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faida ipi wanayopata?Mko wa chache sana wa hivi ..ila wengi wanapenda sherehe maana ina faida
Ni kweli yangu kwenye vinywaji na chakula ilinigharimu 360k tumetoka kanisani hao tukaelekea shambani kukagua kazi, niko matured lkn wapo wanawake umri wangu na zaidi huwaambii kitu kuhusu shughuliHahaha..........unasema kweli Mkuu ama unatania?
If so, you might be matured enough
Hauna feature za kislay queen 👏👏
Yale mazawadi mnayotunzana sio faida ?Faida ipi wanayopata?
Wengine geresha badae wanadaiana na kuanikana mi si mtu wa makundi sana ndo maana sipendi shughuli zisizo na ulazimaYale mazawadi mnayotunzana sio faida ?
Nakwambia mi mpk leo kuna watu wametununia dada mkubwa kisa hatukwenda na trend....na ni watu wazima kabisaaaa. Yani watu wako tayari waone mmekaa pamoja mmezaa na watt kumi na hawahuzuniki wala kukasirika, sasa siku jifanye mnaenda kufunga ndoa kimya kimya bila kelele, ndo utajua hujui...unanuniwa tena na watu wazima kabisaaaa....😅😅😅😅😅Wengine geresha badae wanadaiana na kuanikana mi si mtu wa makundi sana ndo maana sipendi shughuli zisizo na ulazima
Kuna uzi unafanania huu niliandika kuwa watz tunapenda vitu visivyo na maana ikiwemo hizo shughuli, mi yangu ilileta zogo sana wababa wa miaka 60+ na wake zao ma aunt nk wakati nilitegemea wangefurahi nimewapunguzia gharama, uzuri mi mwenyewe kauzu sijali wala nini na simu zao nilifuta, yani hata kope hanishtukiNakwambia mi mpk leo kuna watu wametununia dada mkubwa kisa hatukwenda na trend....na ni watu wazima kabisaaaa. Yani watu wako tayari waone mmekaa pamoja mmezaa na watt kumi na hawahuzuniki wala kukasirika, sasa siku jifanye mnaenda kufunga ndoa kimya kimya bila kelele, ndo utajua hujui...unanuniwa tena na watu wazima kabisaaaa....😅😅😅😅😅
You had simple wedding everNi kweli yangu kwenye vinywaji na chakula ilinigharimu 360k tumetoka kanisani hao tukaelekea shambani kukagua kazi, niko matured lkn wapo wanawake umri wangu na zaidi huwaambii kitu kuhusu shughuli
Unakuta mtu anaandaa shughuli kubwa eti birthday, kipaimara komunio ubatizo ujinga ujinga tu
HahahahahaWengine geresha badae wanadaiana na kuanikana mi si mtu wa makundi sana ndo maana sipendi shughuli zisizo na ulazima
Wanahitajika Wanawake kama ninyi zaidi kubadirisha jamii zetuKuna uzi unafanania huu niliandika kuwa watz tunapenda vitu visivyo na maana ikiwemo hizo shughuli, mi yangu ilileta zogo sana wababa wa miaka 60+ na wake zao ma aunt nk wakati nilitegemea wangefurahi nimewapunguzia gharama, uzuri mi mwenyewe kauzu sijali wala nini na simu zao nilifuta, yani hata kope hanishtuki
Watz akili hatuna hizi mambo huwezi zikuta ug au kenya eti kununiwa kisa mualiko, nonsense
Watanzania tunapenda shughuli Mkuu 😅Nakwambia mi mpk leo kuna watu wametununia dada mkubwa kisa hatukwenda na trend....na ni watu wazima kabisaaaa. Yani watu wako tayari waone mmekaa pamoja mmezaa na watt kumi na hawahuzuniki wala kukasirika, sasa siku jifanye mnaenda kufunga ndoa kimya kimya bila kelele, ndo utajua hujui...unanuniwa tena na watu wazima kabisaaaa....😅😅😅😅😅
Kawaida tu sipendi matashtiti na hekaheka uzuri na mwenzangu nae ni hivyo hivyo,You had simple wedding ever
Hongera Mkuu kumwongoza mwenzio njia salama.
Maana inapotokea Mume ameyumba Kiuchumi baada ya kutumia fedha zake nyingi kwenye harusi, mtakao lala njaa ni wewe na Watoto.
Pokea Maua yangu 👏👏
Matukio ni mengi mitandaoni yapo sana wanaadhirishana hadi aibu fatilia utawaonea huruma watzYaani upewe zawadi halafu waje waichukue Tena, how?
Amina aminaMungu awajalie miaka mingi kwenu hadi mfikie Uzee pamoja