Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ni mpango mzuri Mkuu, lakini huyo Mkeo mtarajiwa atakubali mfanye harusi ndogo?

Wanawake huwa wanapenda sana sherehe
Umeongea kweli Kabsa Mkuu!
Wanawake wengi hutamani kupata public appreciation au kukubalika na jamii! Ila upande wa wanaume huwa hawana muda wa kutazama zaidi hayo mambo. Kimsingi mwanaume ndo anatakiwa kuwa kichwa! Endap mwanaume ukifanya kila jambo ambalo mwanamke wako anataka ufanye basi ndani ya kipindi kifupi lazma maji yatafika shingoni.
 
Mchunge mjukuu wako asije akapeperuka πŸ˜…
Tangu akiwa na miaka 3, Babu yake niliongeza Ulinzi Kwa kufuga mbwa mkali nyumbani ili kuwakimbiza Vijana wa hovyo

Na juzi tulifuta lile tangazo getini la kuuza Ice cream na kuandika tangazo la "MBWA MKALI" ili kuendelea kumlinda Mjukuu ephen_
 
Kweli Mkuu, Lazima tukubali kuishi nao Kwa akili
 
Tangu akiwa na miaka 3, Babu yake niliongeza Ulinzi Kwa kufuga mbwa mkali nyumbani ili kuwakimbiza Vijana wa hovyo

Na juzi tulifuta lile tangazo getini la kuuza Ice cream na kuandika tangazo la "MBWA MKALI" ili kuendelea kumlinda Mjukuu ephen_
Hapo sawa 😊
 
Hongera sana Mkuu

How do you spent that?
Usafiri
Mavazi na mapambo kwla bibi harusi
Usafiri siku ya harusi
Ukumbi
Chakula
Vinywaji
Mc na Mziki
Usafiri wa wakwe
Mavazi ya bwana harusi
Mavazi ya wasimamizi wa harusi
Dharula
Hela ya sehemu ya honeymoon
Video na picha

Udambwi udambwi mwingine.
 
Usafiri
Mavazi na mapambo kwla bibi harusi
Usafiri siku ya harusi
Ukumbi
Chakula
Vinywaji
Mc na Mziki
Usafiri wa wakwe
Mavazi ya bwana harusi
Mavazi ya wasimamizi wa harusi
Dharula
Hela ya sehemu ya honeymoon
Video na picha

Udambwi udambwi mwingine.
Hongera sana Mkuu, nimependa kwamba ulitenga na Fedha ya dharura πŸ‘πŸ‘πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…