Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Ndoa ya kiislamu, kanzu na kilemba nlikuwa navyo tayari, shela la Bi harusi tulikodi Kwa 20k tu, 10k nilimpa aliyenifunga kilemba kichwani. 20k nilimpa mdogo wa mke wangu ambae aligoma kupisha mlangoni wakati naondoka na dada yake Hadi nitoe chochote kitu.
Msafara wa magari matatu langu moja na mengine walijitolea washkaji wa kazini kwangu, mpiga picha pia alikuwa mshkaj wa kazini ambapo alitumia camera ya ofisini pia. Hayo yote ni nje ya mahari.
Nkarudi nyumbani na mke kiroho safi
Hongera sana Mkuu

Inaonekana ulikuwa unaishi vizuri na jamii ya kazini kwako

Simple wedding but classy 💪
 
Kuna ndugu alichangisha mchango double 100k, hakutaka kamati hela anakusanya mwenyewe
Location ya ukumbi ilivyotoka watu wakaenda mimi nilikua mmojawapo, nilienda badala ya baba
Tumefika pale kumbe sherehe inafanyika kwa ndugu yake cz nyumba ina uwanja mkubwa, mziki wameeka flash

Watu walisonya sana kisa 100k zao wengine wakajuta kutoa
Ila bufee lilivyofunguliwa tulifurahi msosi wa maana unajiwekea mwenyewe

Kufupisha, tulivyotoka kanisani tulienda nyumbani kwa kaka ake kula then kila mtu kwao na 100k za watu alichukua kuanzia Maisha.
 
Sitakiii...!😂
Mambo ya kupigiana simu kulia watu wakuchangie yamepitwa na wakati
Hivi haiwezekani ku-hire Kampuni ifanye kazi ya kukusanya michango kama zilivyo Kampuni za kukusanya madeni? 😜

Usipotoa mchango jamaa wanatoa notice ya kukufirisi 😜🙌
 
Anza kumnunia Mkwe Analyse hadi aje kuleta mahari huku Kijijini

Wazee tumekubali kupokea Kwa Installments 🤗

Tutafanyaje sasa na Mkwe tumepata Mpare 😜
Yule sio mpare babu😂
Ndoa subiri mjukuu umri uende kidogo.
 
Hivi haiwezekani ku-hire Kampuni ifanye kazi ya kukusanya michango kama zilivyo Kampuni za kukusanya madeni? 😜

Usipotoa mchango jamaa wanatoa notice ya kukufirisi 😜🙌
Mchango ni hiari sio lazima
Japo usipotoa wanandoa wanakununia
 
Yule sio mpare babu😂
Ndoa subiri mjukuu umri uende kidogo.
Nilidhani atakuwa ni Mpare yule, maana alitoa ombi maalumu la kulipa mahari yako Kwa Installments wakati wenzake huwa wanalipa yote cash 😜 🙌

Hivi ulisema akusubiri hadi umalize PhD yako kule Japan eeh 🤗
 
Hapana! Nikitimiza miaka 25
 
Hapana! Nikitimiza miaka 25
Mjukuu umeanza lini tabia ya kugandisha Umri kama Tanzania sweetheart

Yeye umri wake uligandia kwenye 28 huu Mwaka wa 7 sasa hauongezeki 😜🙌
 
Binafsi nimepanga hivi:
Wazazi wa binti nawapatia zawadi yao.
Binti yao nampatia naye zawadi,
pia na wazazi wangu halafu tunafanya sherehe ya kawaida maana harusi sio ndoa Mkuu!
Wengine tumekwenda kwenye harusi ambazo kadi kuchangia ni 70K na double ni 120K ila zimedumu kwa miezi kadhaa tu. Na kuna wengine tumekwenda kwenye harusi simple tu ila mpaka leo bado wanaishi.
TAKE HOME: NDOA SIO HARUSI NA HARUSI SIO NDOA.
 
Nagandisha ili nisizeeke babu😂
 
Kuna ndugu alichangisha mchango double 100k, hakutaka kamati hela anakusanya mwenyewe
Location ya ukumbi ilivyotoka watu wakaenda mimi nilikua mmojawapo, nilienda badala ya baba
Tumefika pale kumbe sherehe inafanyika kwa ndugu yake cz nyumba ina uwanja mkubwa, mziki wameeka flash

Watu walisonya sana kisa 100k zao wengine wakajuta kutoa
Ila bufee lilivyofunguliwa tulifurahi msosi wa maana unajiwekea mwenyewe

Kufupisha, tulivyotoka kanisani tulienda nyumbani kwa kaka ake kula then kila mtu kwao na 100k za watu alichukua kuanzia Maisha.
Ila huyo alitisha, akasema yanini kutumia hela yote kufanyia harusi wakati Sina Mtaji wa biashara 🤗🙌
 
Laki moja taslimu.Ila huyu mwanamama yeye anataka ya heka heka .Akiwa tayari ntatokelezea kama hapo chini ila mimi suti tayari ninazo nyingiiii.
Screenshot_20230516-131244.jpg
 
Binafsi nimepanga hivi:
Wazazi wa binti nawapatia zawadi yao.
Binti yao nampatia naye zawadi,
pia na wazazi wangu halafu tunafanya sherehe ya kawaida maana harusi sio ndoa Mkuu!
Wengine tumekwenda kwenye harusi ambazo kadi kuchangia ni 70K na double ni 120K ila zimedumu kwa miezi kadhaa tu. Na kuna wengine tumekwenda kwenye harusi simple tu ila mpaka leo bado wanaishi.
TAKE HOME: NDOA SIO HARUSI NA HARUSI SIO NDOA.
Ni mpango mzuri Mkuu, lakini huyo Mkeo mtarajiwa atakubali mfanye harusi ndogo?

Wanawake huwa wanapenda sana sherehe
 
Back
Top Bottom