Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
- Thread starter
- #421
Hongera sana MkuuNdoa ya kiislamu, kanzu na kilemba nlikuwa navyo tayari, shela la Bi harusi tulikodi Kwa 20k tu, 10k nilimpa aliyenifunga kilemba kichwani. 20k nilimpa mdogo wa mke wangu ambae aligoma kupisha mlangoni wakati naondoka na dada yake Hadi nitoe chochote kitu.
Msafara wa magari matatu langu moja na mengine walijitolea washkaji wa kazini kwangu, mpiga picha pia alikuwa mshkaj wa kazini ambapo alitumia camera ya ofisini pia. Hayo yote ni nje ya mahari.
Nkarudi nyumbani na mke kiroho safi
Inaonekana ulikuwa unaishi vizuri na jamii ya kazini kwako
Simple wedding but classy 💪