Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

Vyema kujipanga, aisee Wanawake hawapendi Ndoa za kimya kimya hata mara moja πŸ˜…
Hahaha kwa harusi madoido yote ila kulinda ndoa ahhh....wanamsikiliza boss wa kazini shenz type.

Hili boti la ndoa naona nitashindwa kulipanda
 
Hahaha kwa harusi madoido yote ila kulinda ndoa ahhh....wanamsikiliza boss wa kazini shenz type.

Hili boti la ndoa naona nitashindwa kulipanda
Boss lazima asikilizwe, tena akikutana na boss aina ya Balthazar Engonga lazima ampe mambo 😜
 
Uliamua vyema aisee, japo it was too risky

Kuna wakati usipokuwa makini unaweza kufanya harusi kubwa Tena ya gharama lakini baada ya hapo familia ikaishia kulipa madeni tu
 
Babu nilivyo na stress na yule mpare hata hicho kipare unadhani naweza kujifunza!! Kwanza ili nikakitumie wapi🀣🀣
Pole Mjukuu, ngoja nikutumie hela ya mbege kwanza ili upate nguvu za kunitafsiria hicho Kipare

Haiwezekani uishi na Mpare miaka 15 ushindwe kuongea Lugha yake, si atakunyima Makande 😜
 
Kwani, kisheria na huduma ya kikanisa ukifunga ndoa Kanisani, kwenye ibada asubuhi mkaombewa. Baada ya ibada mkaenda kwenu kula wali na kuku 2 mliowanunua 40,000 na juice ya parachichi na soda kreti moja 15,000. Haiwezekani ? Budget haizidi 100,000 maisha yanasonga. Zingine hizi ni mbwembwe na vitisho vya hela tu.
 
Pole Mjukuu, ngoja nikutumie hela ya mbege kwanza
Hapa.sasa ndio umeongea point babu, fanya fasta mzee wa fix🀣🀣
Haiwezekani uishi na Mpare miaka 15 ushindwe kuongea Lugha yake, si atakunyima Makande 😜
Akininyima makande si nitafanya na sgerehe!! Yaani hadi nanukia makande siku hiziπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
 
Kaka mbna unaniongelea na mimi npo hewani
 
Nilitumia laki 3 (Kila kitu humo humo). Nilijiandaa kwa muda wa masaa sita, wote walioshiriki walikula kuku. Chenchi ilibaki kidogo tukaanzia maisha. Kwa upande wa chakula nilipenda kachumbari, ilikuwa tamu sana.
 
Hapa.sasa ndio umeongea point babu, fanya fasta mzee wa fix🀣🀣

Akininyima makande si nitafanya na sherehe!! Yaani hadi nanukia makande siku hiziπŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈπŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­
Hahaha........ usijali Mjukuu, nipe maelekezo tu nifanye jambo 😜

By the way, Makande lazima uyale as long upo na Mpare πŸ˜…
 
Ni sahihi Mkuu, ila changamoto ni wenza wetu kutokupenda kuolewa kimya kimya πŸ™Œ
 
Ni sahihi Mkuu, ila changamoto ni wenza wetu kutokupenda kuolewa kimya kimya πŸ™Œ
Hawajiamini wanawake. Kama ni hadhara kushuhudia ibadani inatosha. Waislam hurahisisha zaidi. Sasa milioni nyingi kama sio kutesana ni nini.
 
Hongera Sana
 
Ni huzuni kwakweli😭
Bora huyo Mpare anakulisha Makande, ukija huku Kijijini kwetu ni mwendo wa kula ugali mwekundu na Samaki tu 😜
 
Nilitumia laki 3 (Kila kitu humo humo). Nilijiandaa kwa muda wa masaa sita, wote walioshiriki walikula kuku. Chenchi ilibaki kidogo tukaanzia maisha. Kwa upande wa chakula nilipenda kachumbari, ilikuwa tamu sana.
Kweli ulijua kubana bajeti, hongera sana πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…