Hahaha kwa harusi madoido yote ila kulinda ndoa ahhh....wanamsikiliza boss wa kazini shenz type.Vyema kujipanga, aisee Wanawake hawapendi Ndoa za kimya kimya hata mara moja 😅
Hili boti la ndoa naona nitashindwa kulipanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kwa harusi madoido yote ila kulinda ndoa ahhh....wanamsikiliza boss wa kazini shenz type.Vyema kujipanga, aisee Wanawake hawapendi Ndoa za kimya kimya hata mara moja 😅
Boss lazima asikilizwe, tena akikutana na boss aina ya Balthazar Engonga lazima ampe mambo 😜Hahaha kwa harusi madoido yote ila kulinda ndoa ahhh....wanamsikiliza boss wa kazini shenz type.
Hili boti la ndoa naona nitashindwa kulipanda
Hatari sii mchezoBoss lazima asikilizwe, tena akikutana na boss aina ya Balthazar Engonga lazima ampe mambo 😜
Uliamua vyema aisee, japo it was too riskyYes mkuu. Niliona nifanye mambo ya maana kwanza na michango ilikuwa inaingia tu. Kiukweli naweza kusema nilipiga mahesabu vizuri ama nilichanga karata zangu vizuri. Kwa bahati nzuri, hata baada ya yote na baada ya harusi, bado kuna ka 'balance' nilibaki nako mfukoni kakanisogeza sogeza kwa miezi kadhaa.
Hata wadogo zangu wanaonifuata nikawaambia wakijikuta katika harakati za ndoa, wahakikishe pesa za michango wanakaa nazo wenyewe na wafanye mambo ya maana kwanza 😀😀
Pole Mjukuu, ngoja nikutumie hela ya mbege kwanza ili upate nguvu za kunitafsiria hicho KipareBabu nilivyo na stress na yule mpare hata hicho kipare unadhani naweza kujifunza!! Kwanza ili nikakitumie wapi🤣🤣
Kwani, kisheria na huduma ya kikanisa ukifunga ndoa Kanisani, kwenye ibada asubuhi mkaombewa. Baada ya ibada mkaenda kwenu kula wali na kuku 2 mliowanunua 40,000 na juice ya parachichi na soda kreti moja 15,000. Haiwezekani ? Budget haizidi 100,000 maisha yanasonga. Zingine hizi ni mbwembwe na vitisho vya hela tu.Suala la Kuoa ama kuolewa bado litaendelea kuwa ni hitaji muhimu miongoni mwa Jamii ya watu wengi Ulimwenguni.
Kwa Tanzania, tunazo Ndoa za aina mbalimbali ambazo zinatambulika kisheria ambazo ni Ndoa za Kidini, Kimila na Kiserikali.
Mara baada ya kufunga Ndoa, maharusi wengi Kwa kushirikiana na jamii zao, hupenda kufanya sherehe. Sherehe hizo huambatana na michango Kwa walio wengi kupitisha Kadi kwaajili ya kuomba kuchangiwa kufanikisha sherehe za harusi zao.
Japo baadhi hufanya sherehe za harusi zao pasipo kuomba michango Kwa ndugu/jamaa na marafiki. Wao hugharamia Kila kitu wao wenyewe na hao ndugu/jamaa na marafiki hupewa Kadi za mwaliko kuweza kuhudhuria sherehe tu.
Kwa utafiti usio rasmi, sherehe za harusi hupendwa zaidi na Wanawake kuliko Wanaume. Wanaume wako tayari kufunga Ndoa za kimya kimya lakini sio Wanawake.
Je, ulitumia fedha kiasi gani kufanikisha harusi yako ama umepanga kutumia fedha kiasi gani kwaajili ya harusi yako na mwenzi wako?
Binafsi, nilitumia kiasi cha shilingi milioni 10 kuweza kufanikisha harusi yangu na Bibi yenu miaka kadhaa iliyopita 🤗🙏
Sikuhitaji kuchangiwa fedha kufanikisha sherehe ile, bali niliweza kujipanga mwenyewe Kwa muda wa miaka 5.
Nilifungua akaunti maalumu Benki (Fixed deposit account) ambayo nilikuwa nina ruhusiwa kuweka fedha pasipo kutoa Kwa muda wa miaka 5 hivi, japo nilikuwa napata interest kidogo za Benki.
Baada ya miaka 4 hivi, nilikwenda kuchungulia fedha nikakuta nina milioni 9.35 so nikaanza maandalizi kujiandaa na harusi Mwaka unaofatia.
Mind you, tayari nilikuwa nina Cheti cha Ndoa ya Serikali na mwenzangu lakini yeye Kiu yake ni lazima tukafunge ile ya Kanisani 🙌
Kuna wakati nilikuwa nafanya biashara ya kununua na kuuza mazao ya nafaka. Nilikuwa naenda Mashambani, nawakopesha fedha Wakulima then wakati wa mavuno nilikuwa naenda kukusanya mazao hasa zao la Mpunga.
Kwahiyo kwenye ile harusi, sikuwa na hofu ya Chakula maana tayari nilikuwa nina stock ya magunia ya kutosha ya Mpunga.
Wanasema harusi ni kula na Kunywa. Kwahiyo nilijiandaa kwenye eneo hili.
Kwenye upande wa Chakula niliandaa wali mweupe,Pilau, chips, mtori, nyama za kukaanga, kachumbali
Vinywaji niliandaa Soda na Maji tu.
Niliandaa Kadi za Mwaliko za watu 300 lakini walifika watu 358 japo hili nilijua lazima lingetokea maana harusi yenyewe niliifanyia Kijijini kwahiyo wengi ni wale watu mnajuana. Kwahiyo niliweka chakula na Vinywaji Kwa zaidi (excess budgeting)
Pamoja na Wageni waalikwa, usiku ule nilikuwa na Mchungaji pamoja na Mwinjilisti ambao walishiriki kuanzia mwanzo wa harusi hadi tunamaliza tukio majira ya saa 9 usiku.
Gharama za mavazi za Wapambe niligharamia mwenyewe kuanzia mavazi ya Kanisani hadi Ukumbini 🙌
Niliamua kukodisha Ma-MC wawili ili kunogesha sherehe 🤗
Pete nilinunua zenye ppt ya dhahabu, kuogopa zisije kupauka.
Mchanganuo wa Bajeti yangu kufanikisha sherehe ile, nimeambatisha kwaajili ya wengine kujifunza.
Kumbukeni, hata kama umeoa bado unaweza kuja kuozesha watoto wako miaka ijayo. Baadhi yetu mnaweza kuwa Wanakamati kwenye harusi za wengine pia
Kwahiyo Harusi zitaendelea kufanyika hata baada ya kufa kwetu maana tutakuwa tumeacha Kizazi chetu kinaendelea Kuoa na kuolewa.
Hapa.sasa ndio umeongea point babu, fanya fasta mzee wa fix🤣🤣Pole Mjukuu, ngoja nikutumie hela ya mbege kwanza
Akininyima makande si nitafanya na sgerehe!! Yaani hadi nanukia makande siku hizi🙆♂️🙆♂️😭😭😭Haiwezekani uishi na Mpare miaka 15 ushindwe kuongea Lugha yake, si atakunyima Makande 😜
Kaka mbna unaniongelea na mimi npo hewaniKwani, kisheria na huduma ya kikanisa ukifunga ndoa Kanisani, kwenye ibada asubuhi mkaombewa. Baada ya ibada mkaenda kwenu kula wali na kuku 2 mliowanunua 40,000 na juice ya parachichi na soda kreti moja 15,000. Haiwezekani ? Budget haizidi 100,000 maisha yanasonga. Zingine hizi ni mbwembwe na vitisho vya hela tu.
Hahaha........ usijali Mjukuu, nipe maelekezo tu nifanye jambo 😜Hapa.sasa ndio umeongea point babu, fanya fasta mzee wa fix🤣🤣
Akininyima makande si nitafanya na sherehe!! Yaani hadi nanukia makande siku hizi🙆♂️🙆♂️😭😭😭
Ni sahihi Mkuu, ila changamoto ni wenza wetu kutokupenda kuolewa kimya kimya 🙌Kwani, kisheria na huduma ya kikanisa ukifunga ndoa Kanisani, kwenye ibada asubuhi mkaombewa. Baada ya ibada mkaenda kwenu kula wali na kuku 2 mliowanunua 40,000 na juice ya parachichi na soda kreti moja 15,000. Haiwezekani ? Budget haizidi 100,000 maisha yanasonga. Zingine hizi ni mbwembwe na vitisho vya hela tu.
Hawajiamini wanawake. Kama ni hadhara kushuhudia ibadani inatosha. Waislam hurahisisha zaidi. Sasa milioni nyingi kama sio kutesana ni nini.Ni sahihi Mkuu, ila changamoto ni wenza wetu kutokupenda kuolewa kimya kimya 🙌
Aaaah babuuu🙌🙌🙌🙌Hahaha........ usijali Mjukuu, nipe maelekezo tu nifanye jambo 😜
Ni huzuni kwakweli😭By the way, Makande lazima uyale as long upo na Mpare 😅
Hongera SanaSuala la Kuoa ama kuolewa bado litaendelea kuwa ni hitaji muhimu miongoni mwa Jamii ya watu wengi Ulimwenguni.
Kwa Tanzania, tunazo Ndoa za aina mbalimbali ambazo zinatambulika kisheria ambazo ni Ndoa za Kidini, Kimila na Kiserikali.
Mara baada ya kufunga Ndoa, maharusi wengi Kwa kushirikiana na jamii zao, hupenda kufanya sherehe. Sherehe hizo huambatana na michango Kwa walio wengi kupitisha Kadi kwaajili ya kuomba kuchangiwa kufanikisha sherehe za harusi zao.
Japo baadhi hufanya sherehe za harusi zao pasipo kuomba michango Kwa ndugu/jamaa na marafiki. Wao hugharamia Kila kitu wao wenyewe na hao ndugu/jamaa na marafiki hupewa Kadi za mwaliko kuweza kuhudhuria sherehe tu.
Kwa utafiti usio rasmi, sherehe za harusi hupendwa zaidi na Wanawake kuliko Wanaume. Wanaume wako tayari kufunga Ndoa za kimya kimya lakini sio Wanawake.
Je, ulitumia fedha kiasi gani kufanikisha harusi yako ama umepanga kutumia fedha kiasi gani kwaajili ya harusi yako na mwenzi wako?
Binafsi, nilitumia kiasi cha shilingi milioni 10 kuweza kufanikisha harusi yangu na Bibi yenu miaka kadhaa iliyopita 🤗🙏
Sikuhitaji kuchangiwa fedha kufanikisha sherehe ile, bali niliweza kujipanga mwenyewe Kwa muda wa miaka 5.
Nilifungua akaunti maalumu Benki (Fixed deposit account) ambayo nilikuwa nina ruhusiwa kuweka fedha pasipo kutoa Kwa muda wa miaka 5 hivi, japo nilikuwa napata interest kidogo za Benki.
Baada ya miaka 4 hivi, nilikwenda kuchungulia fedha nikakuta nina milioni 9.35 so nikaanza maandalizi kujiandaa na harusi Mwaka unaofatia.
Mind you, tayari nilikuwa nina Cheti cha Ndoa ya Serikali na mwenzangu lakini yeye Kiu yake ni lazima tukafunge ile ya Kanisani 🙌
Kuna wakati nilikuwa nafanya biashara ya kununua na kuuza mazao ya nafaka. Nilikuwa naenda Mashambani, nawakopesha fedha Wakulima then wakati wa mavuno nilikuwa naenda kukusanya mazao hasa zao la Mpunga.
Kwahiyo kwenye ile harusi, sikuwa na hofu ya Chakula maana tayari nilikuwa nina stock ya magunia ya kutosha ya Mpunga.
Wanasema harusi ni kula na Kunywa. Kwahiyo nilijiandaa kwenye eneo hili.
Kwenye upande wa Chakula niliandaa wali mweupe,Pilau, chips, mtori, nyama za kukaanga, kachumbali
Vinywaji niliandaa Soda na Maji tu.
Niliandaa Kadi za Mwaliko za watu 300 lakini walifika watu 358 japo hili nilijua lazima lingetokea maana harusi yenyewe niliifanyia Kijijini kwahiyo wengi ni wale watu mnajuana. Kwahiyo niliweka chakula na Vinywaji Kwa zaidi (excess budgeting)
Pamoja na Wageni waalikwa, usiku ule nilikuwa na Mchungaji pamoja na Mwinjilisti ambao walishiriki kuanzia mwanzo wa harusi hadi tunamaliza tukio majira ya saa 9 usiku.
Gharama za mavazi za Wapambe niligharamia mwenyewe kuanzia mavazi ya Kanisani hadi Ukumbini 🙌
Niliamua kukodisha Ma-MC wawili ili kunogesha sherehe 🤗
Pete nilinunua zenye ppt ya dhahabu, kuogopa zisije kupauka.
Mchanganuo wa Bajeti yangu kufanikisha sherehe ile, nimeambatisha kwaajili ya wengine kujifunza.
Kumbukeni, hata kama umeoa bado unaweza kuja kuozesha watoto wako miaka ijayo. Baadhi yetu mnaweza kuwa Wanakamati kwenye harusi za wengine pia
Kwahiyo Harusi zitaendelea kufanyika hata baada ya kufa kwetu maana tutakuwa tumeacha Kizazi chetu kinaendelea Kuoa na kuolewa.
Kweli ulijua kubana bajeti, hongera sana 🙌Nilitumia laki 3 (Kila kitu humo humo). Nilijiandaa kwa muda wa masaa sita, wote walioshiriki walikula kuku. Chenchi ilibaki kidogo tukaanzia maisha. Kwa upande wa chakula nilipenda kachumbari, ilikuwa tamu sana.