shampondo shila
Member
- Jan 14, 2020
- 19
- 42
Hatimae nimepambana nimefanikiwa kupata buku la bando ili tu nilete huu uzi,
Kwanza habari za humu wanaJF wenzangu. Natumai mko poa kabisa.
Mada yangu kama inavyosema hapo juu,
Mimi nakumbuka kuna mdada kipindi nimeajiriwa kazi ya duka,
Alinikuta siku moja nakula nikamkaribisha tukala siku hiyo, basi yeye akawa anatime muda ninaokula anakuja, na akikuta bado anasubiria mpaka tu ale ndo aondoke, nilitumia njia moja tu kumkwepa, nikawa sipiki, nakula tu mikate na maandazi, ikumbukwe ni mke wa mtu halafu alikuwa na mimba
Je, wewe limewahi kukutokea kama hilo?