Mlionana pande zipi mwa TZ? Kusini Mashariki au magharibi,[emoji23][emoji23][emoji23] mkigombana unamsemaa haombi msamaha halafu a nakwambia mwanaume kwangu kitu kidogo BAADA ya akija kumi anakulilia kwamba hajawahi kumlilia mwanaume na kwa tabia zake hakuna mwanaume atakayekuja kumpenda km mm napata huruma yakaisha lakini kwa sasa namsubiria likizo tuu tumalize biashara ipo siku ataniuwaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuuu huyu dem tumeshera 95%
Kama huyo dem co ndugu na
Aliekua ex wang
Maana tabia hapo znafanana kabsaaa
Kwa hiyo mzee hata nikimgegeda huyo mpenzi/mke/chumba/demu wako humuachi utasubiri hadi yeye akuache?
Anaweza rudi akakuta limepitiwa na ndiyo unakuwa mwisho wa stori.Mkulima akichoka anaacha jembe lake shambani, akienda kula nyumbani na akapata nguvu anarudi kuchukua jembe lake anaendeleza kazi
Mmmmh..Je,kama wewe ndo unamakosa akakuacha,Karma itaenda upande gani?Haha... Watu tunatofautiana sana... Sijawah kuacha niliachwa na demu mmoja tu.... Sijawahi kuacha tukiwa kwenye mapenzi mim ndiyo ninaekupa option nakuambia kabisa ukinichoka unaruhusiwa kuniacha.... Mim najua nikikuacha kuna kitu kinaitwa Karma.....
mm hao nshakutana nao wengi na staili yangu ya kupiga chini ni hiyo hiyo..unapg kimya bac..Hahahaha hata wangu nilimwacha kimya kimya, kapiga simu mwaka mzima naweka black list kisa cha kumwacha alinipanda kichwani na mateso yalipozidi nikaamua kumtelekeza kimya kimya
Huyo jamaa asipobadili mitazamo yake wanawake watakuja kumfanyia vitu vya ajabu hadi atashangaa.Huyo jamaa anaroho nzuri sana.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambia tu umeamua kuchenjulia makinikia yako kwny smelter mpya
pole binti yetu,tutadeal naeDah ningejua nisingeifungua hii Uzi,niliachwa kimya kimya, nilipiga simu mwezi mzima lakn haikupokelewa ,enginer wa kipare go to hell
Nitafute, kuna dawa inaitwa bakayoko ujipake, atarudi spidi yaaniDah ningejua nisingeifungua hii Uzi,niliachwa kimya kimya, nilipiga simu mwezi mzima lakn haikupokelewa ,enginer wa kipare go to hell
😂😂😂 Duuh!Dah ningejua nisingeifungua hii Uzi,niliachwa kimya kimya, nilipiga simu mwezi mzima lakn haikupokelewa ,enginer wa kipare go to hell
Duuh!Nilimuaga nasafiri kikazi,
nikamuachia kila kitu then nikabadil line maisha mengine yanaendelea.