Sekondari haijawahi kunikuta hiyo, nilikua bandidu nagoma adhabu na walimu wakizingua ni kuwazingua mtaani pia. Primary nilipigwa vimbo za mkono nyingi kiasi kwamba marafiki zangu na karibia nusu ya darasa wakawa wanalia kama kuna msiba. Na ndo nilipojifunza kuiba hela nyumbani nikaenda kununua manata, mpaka leo jicho lake moja halioni vizuri mbwa yule.Nane
Dogo hujambo?Mwaka 2016 nikiwa form one,niliwahi kuchapwa viboko zaidi ya mia kwa siku moja,ilikuwa hivi, ktk mitihani ya midterm mwezi wa nne walimu walikuwa na operation tokomeza zero,mitihani iliandaliwa tukaifanya na kwa siku moja tulikuwa tukipewa/gawiwa mitihani angalau mitatu na kwa mwanafunzi aliyepata F ndiye alikuwa mbuzi wa kafara,mfano mwalimu wa somo husika anaweza kuwaita ofsini na kuanza kuwagawia mtihani,kisha wanafunzi mliopata f mnabaki ofsini na kila mwanafunzi alitakiwa apite kwa kila mwalimu atandikwe bakora 3 ktk walimu 10, 3×10 =30 kwa siku mnagawiwa masomo matatu na ktk wanafunzi waliopata f na mimi nimo 30×3=90 ni hatari sana nashukuru mungu nilipofika form3 nikabadilika nikawa mwanafunzi tishio sana na form nilifanikiwa kupata dvsn two ya 19 wa kwanza alikuwa na dvsn two ya 18
nina visa vingi ngoja nipumzike kabla ya kuwaletea kingine.
Mimi sikumbuki idadi ila nilichangiwa na ofisi nzima baada ya kutega shule kama mwezi mzima alafu madaftari yote yanaonesha mazoezi tunayopewa darasani napata yote kipindi chote ambacho nilikuwa navaa uniform then nikifika mtaani natafuta jumba bovu nabadirisha navaa za mtaani alafu huyo kupiga misere mitaani au naenda zangu beach. Aisee baada ya hapo sikutega tena shule mpaka namaliza la sabaWatoto wa siku hizi wanadeka sana.
Enzi hizo unaweza ukala fimbo za kutosha shuleni na wala hakuna noma. Mimi shule fimbo ilikuwa ni torati.
Hebu toa ushuhuda ni kiasi gani cha fimbo uliwahi kula kww mkupuo wakati unasoma sekondari?
we secretary bird!Dogo hujambo?
kwamba wa sasa hivi tunadeka au sio? Acha us***e we pimbi! Nyie ndio mnawatetea hawa walimu mpaka wanajisahau na kujiona miungu kwetu wanafunzi! Alafu akifa mwanafunzi(ambapo ni matokeo ya kukaa kimya juu ya ukatili huu wa kinyama) mnavunga kana kwamba sio nyie mliokuwa mnawatetea hao madogori wa ccm!!Watoto wa siku hizi wanadeka sana.
Enzi hizo unaweza ukala fimbo za kutosha shuleni na wala hakuna noma. Mimi shule fimbo ilikuwa ni torati.
Hebu toa ushuhuda ni kiasi gani cha fimbo uliwahi kula kww mkupuo wakati unasoma sekondari?
sijambo! Lakini humu jukwaani hatupimani kwa umri bali hoja na upeo wa kuchanganua mambo malimbali.Dogo hujambo?
Pole Sana mkuuMwaka 2012 nikiwa kidato cha sita shule moja ilikuwa Mbeya tulikuwa tunaiita " jela ndogo" kutokana na viboko kuwa vimezidi.
Tulipofika form 6 tukawa na kamsemo ka darasa " Together as one" hiyo siku asubuhi tunaingia darasani akaja second master akatuambia nyie mwenzenu X kakutwa na simu jana usiku, since nyie mna umoja kama slogan yenu i assume darasa zima mlikuwa mnajua.
Hakuna siku tulichapika na kila mwalimu kama ile siku, walimu wa pale akiona mwenzie anapiga anaunga tela bila kuuliza hata sababu. Tulianza kupigwa asubuhi mpaka mchana muda wa lunch saa 8.
Nilipigwa mpaka ikafika hatua nikalala chini mwalimu apige anapojisikia mwenyewe maana mikono ilivimba mno.
Nilishinda nalia nililala nalia. Kesho yake niliamka nimevimba mwili mzima kama mdudu kaning'ata nikapelekwa hospitali ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kulazwa hospitali, kutundikiwa dripu na kuchoma sindano toka nimejitambua. Hadi daktari alishangaa ni fimbo tuu au kuna wadudu wenye sumu walinivamia 😀😀
NB; Shule ilikuwa inaitwa Swilla, ilikuwa maarufu sana miaka ya nyuma kwa vipigo vilivyokithiri kwa wanafunzi. Sasa hivi nasikia haipo tena imeuzwa ila ilikuwa vizuri academically.
Nop,we secretary bird!
nope? Au sio! Haya bhana!Nop,
sasa matusi ya nini? Watoto wa buku mbili bhanakwamba wa sasa hivi tunadeka au sio? Acha us***e we pimbi! Nyie ndio mnawatetea hawa walimu mpaka wanajisahau na kujiona miungu kwetu wanafunzi! Alafu akifa mwanafunzi(ambapo ni matokeo ya kukaa kimya juu ya ukatili huu wa kinyama) mnavunga kana kwamba sio nyie mliokuwa mnawatetea hao madogori wa ccm!!